OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,189
- 103,708
HUYO MOHAMED HUSSEIN UVAAJI GANI SA HUO HATA KAMA NDIO KUVAA SIMPLE ILA SIO KIHIVYO JAMAANI .
CHEKI HIYO KUBAZI YAKE HALAFU FANANISHA NA ZA WACHEZAJI WA WANANCHI (NA HIYO NDIO MAANA HALISI YA KUVAA SIMPLE YAANI KUBAZI YA KAWAIDA ILA WAMEPENDEZA)
Unakariri
wakati ukuta.
Kukariri nini?
Wewe unataka kuvaa simple ndyo uvae kama wa kijani waliovaa?
hapo kuna usimple gani?
Simple hautakiw kuwa na mrundikano wa vitu vingi mwilini.
wakati ukuta.
We sema tu unavutia kamba upande wako Mkuu. Mwisho wa siku kila mmoja asimamie anapopaamini Mkuu.
Mie naona Wananchi wametokelezea.
Haaaaa haaaaa, nimekupata mtaniSikuelewa mwanzo Mtani baada ya hiyo Post #4 ndio nimekuelewa sa.
Niseme tu hao wa chini wameuishi ule msemo usemao "UMARIDADI SIKU ZOTE UFICHA UMASIKINI"
😀😀😀 Mumfundishage Zimbwe namna ya kuvaa bana Mtani sababu najua hata wewe huwezi tupia pigo ka zile.Haaaaa haaaaa, nimekupata mtani
Sawa Mkuu Mvaa Simple. 😂😂😂Kutokelezea siyo tatzo.. Tatzo uvaaji simple!
wakati ukuta.