St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,201
Bora nielekee kijijini nikale majani kama mbuzi na ng'ombe kuliko kufa kwa corona. Hivi zile mbwembwe za Instagram zitawaumbua wengi safari hii Kiduku Lilo upoo Range rover yenye billion na kinga ya corona nataka kuazima mazee😉😃😃
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️