Taja wimbo mmoja tu WA diamond ambao unaukubali

Mapenzi basi.

kuna sehemu anaimba. " haya mapenzi buana hayana mana yalinifanya mi nichekwe sababu yake nishagomba nikatukanwa lakini kanipiga teke.
 
kwa kweli toka moyoni naupenda wimbo wa NATAKA KUELEWA kuna ka rafudhi fulani kapo unique kwenye huo wimbo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom