Taja starehe 3 ambazo ndo kila kitu maishani mwako

natumai mmeamka salama wakuu.

kila mmoja wetu ataje starehe zake 3 ambazo ndo kila kitu kwake na maelezo yake.

zakwangu hizi hapa:

1. kugegeda
2.intanet
3.mpira

kugegeda hurefresh my mind na kunifanya nienjoy zaid maisha, intenet hunitoa stress nakunifanya nicheke peke angu kama jinga na mpira hunipa furaha ya ajabu ilochanganyikana na wendawazim kidogo.

je upande wako???

nawatakia corona njema wakuu.
Pombe sijaiona hapo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom