Boda wanajichukulia poa..hawajui usmart pia uvutia wateja.[emoji1787]eti wawili tu , wenzao ma dereva tax huwa wapo smart mno yani unamkuta kapiga shati lake kubwa la mtumba na suruali vimenyooshwa safi kabisa
Ipo siku atakuuliza hivi:Mkuu yaan hili swala la Boda Boda na story umewapatia yaan Mimi huwa nawaitikia tu. Hahaaa mkuu umenichekesha mnooo.
Hii kitu hata mchina akiona analia kabisaCamel cement mbagala moja View attachment 1630771
Afu alikuwa mbio kinoma ndo nikamuwahiHii kitu hata mchina akiona analia kabisa
Wanajua kupiga honi sana kuliko kushika breki.
Sasa Billie jukwaa letu limefutwa tunafanya niniWanawapuliza sana wake za watu haswa wale wanawake wanaopenda miteremko
Turudishe acc zao jf au we unaonaje?Sasa Billie jukwaa letu limefutwa tunafanya nini
Acc za kina nani ?Turudishe acc zao jf au we unaonaje?
Si hizi user nameAcc za kina nani ?