Hata km hakujui ukishapanda tu story sijui inaanzia wapi yaani mpaka mwisho wa safari yako unajikuta ulikuwa tu unaitikia au kucheka basi ili mradi ufike utakapo.
Bodaboda qetu tukipanda msiongeeongee mnatutoa kwenye mstari mawazo yetu.
Kingine,,, umeshapanda utaona anarekebisha kioo ili akufaidi vizuri.
Kuna mmoja nilipanda akarekebisha kilo nikajisemea hiyo tabia hata Mimi ninayo nikipakia rafk zangu kwenye gari huwaga narekebisha kile kioo cha kuangalizia nyuma kinacho kaaga ndani ili niwachore wanajifeel vipi. Sasa huyu boda mi ñkawa napepesa macho mwingine mnaangalia watu wengine tukafika pahala alibinya break kaliii nikamlaliaaa sa nkamwambi vipiiiii,, eti bahati mbaya kumbe jamaa alikereka alipokuwa ananichabo kwenye kioo aliona nampungia mkono jamaa mmoja wa kwenye gari.