bush crazy JF-Expert Member Oct 4, 2018 758 1,025 May 31, 2023 #1 Kichwa chajieleza hapo juu, Kuna mtu nataka niprove kwa kile alichonifanyia
Chawa wa lumumbashi JF-Expert Member Nov 19, 2022 793 1,749 May 31, 2023 #2 Why mnapenda kugenaralize? Upumbavu?
fundi bishoo JF-Expert Member Jun 26, 2018 13,072 22,882 May 31, 2023 #3 Wanapenda kuvaa vikaptuLa vifupi
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,060 24,453 May 31, 2023 #5 Inategemea ni jezi ya aina gani na ya timu na msimu gani! Kama ni ya utopolo huyo akili na hela hana!
Inategemea ni jezi ya aina gani na ya timu na msimu gani! Kama ni ya utopolo huyo akili na hela hana!
parts JF-Expert Member Mar 31, 2018 2,720 1,752 Jun 5, 2023 #6 Wanabeti hakuna mfano. Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 34,432 55,139 Jun 5, 2023 #7 Ukimuangalia vizuri lazima awe utopolo.🤔
P Pohamba JF-Expert Member Jun 2, 2015 27,639 61,074 Jun 5, 2023 #8 wanavaa visandoz na soks huku wana vi headphone vya kichina
jerryempire JF-Expert Member Jan 4, 2017 5,153 8,678 Jun 5, 2023 #9 ndo wanaongoza kuvaa tishet moja mpaka week bila kuvua