Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Empress Ki
The moon embracing the Sun
Flames of ambition

Kama unachukia Korean kun** tikiti
Mbna series zote nzuri ila sipendi za mapenz napenda zile za kizamani za mapanga panga, za magic, na technology nyingi
 
Haikuja tokea Series tamu kama
1. Marimar
2. It might be you
3. The long wait
4. The promise
4. Lamujer de Lorenzo
5. Lamujer demivida
 
Unaangalia series za kikorea zilizotafsiriwa na rufufu alafu unakuja kutupigia kelele hapaa...!! Hizo ni kwa ajili ya mabeki tatu
 
Benjamin ana kera sana
Genius sana, kuna statement moja alitoa naikumbuka paka leo, kwenye background story yake inaonesha alizaliwa njiti premature mamake hakufisha miezi 9.
Sasa Walikuwa wamemfunga lock up,
Akawaambiwa, "You can't keep me in here forever, I was born 3month early, even my mother couldn't keep me in there"
250px-Ben_Linus2.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom