Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Yule huwa anasura flani hvi kama mtu asie na akili zilizotimia..

Kwenye person of interest alitisha zaidi kama umeingalia, anajita Harold finch
Hiyo sijaiona nitaitafuta. Nilishawahi kumuona kwenye movie nyingine nimesahau jina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom