Taja Majina Yake Rasmi Matatu. Alikuwa Nani Katika Nchi Anayotoka?

Thread hii imeshajibiwa kwa usahihi na wadau kadhaa.Picha ni ya Mh. Rashid Mfaume Kawawa aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania mara mbili, pia aliwahi kuwa waziri wa ulinzi.
Kwa sasa naifunga hii thread.. Atakayechangia baada ya hapa
hatanikuta!
 
Madiba Nelson Mandela aliwahi kuwa rais wa South Afrika na mpiganiaji wa haki za weusi na ubaguzi wa rangi
 
Rashidi mfaume kawawa waziri mkuu wa kwanza serikali ya nyerere.
 
Rashidi mfaume kawawa waziri mkuu wa kwanza serikali ya nyerere.toka tanzania huko namtumbo songea.
 
Back
Top Bottom