Taja jina la mpigania haki yoyote aliyeuwawa katika mazingira yakutatanisha hapa tanzania.

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,459
4,748
NATAJA MIE
1---Mkurugenzi wa idara ya Usalama wa Taifa Luteni jenerali Imran Kombe ,ilisemekana alifuatwa na maaskari toka DSM na ilipofika ms awalimtoa roho kwakumiminia risas, Kiongozi huyu alipigwa risasi na askari polisi ambao inasemekana walikuwa wamemfananisha na jambazi su
nitajie wengine na ufafanuzi .

Kwa majina ya K tu ndio nayataja,

Kabeho......Alikuwa waziri awamu ya Mwinyi
Kighoma.....Alikuwa waziri awamu ya Mwinyi
Kombe...Alikuwa Usalama wa Taifa
Kibona...Alikuwa waziri awamu ya Mwinyi
Kolimba...Alikuwa katibu mkuu wa CCM
Endelea sasa hapo
 
Katabalo Stanslaus (Mungu amrehemu).

Huyu ilikuwa ni issue ya Loliondo na vitalu vya uwindaji ndivyo vilimuondoa. Na aliyehusika sidhani kama anafurahia maisha kivile maana mara ya mwisho nilisikia akifukuzwa na bakora msikitini pale magomeni.

wengi wanaofanya haya watalipwa hapa hapa duniani na wala sio utani.
 
Kuna kijana aliuawa na polisi Iyunga sekondari kwenye mgomo wa wanafunzi jina limenitoka na mwaka pia.
 
NATAJA MIE
1---Mkurugenzi wa idara ya Usalama wa Taifa Luteni jenerali Imran Kombe ,ilisemekana alifuatwa na maaskari toka DSM na ilipofika ms awalimtoa roho kwakumiminia risas, Kiongozi huyu alipigwa risasi na askari polisi ambao inasemekana walikuwa wamemfananisha na jambazi su
nitajie wengine na ufafanuzi .

IMran Kombe alikuwa mpigania haki zipi mwehu wewe.
Namtaja STAN KATABARO-alofichua Loliondo scandal
 
Aliyehusika yule yule babu alizabuliwa kofi msikitini?
Katabalo Stanslaus (Mungu amrehemu).

Huyu ilikuwa ni issue ya Loliondo na vitalu vya uwindaji ndivyo vilimuondoa. Na aliyehusika sidhani kama anafurahia maisha kivile maana mara ya mwisho nilisikia akifukuzwa na bakora msikitini pale magomeni.

wengi wanaofanya haya watalipwa hapa hapa duniani na wala sio utani.
 
Chacha Wangwe aka Ras, aliuliwa kikatili kwenye ajali ya kutengeza hapa Dodoma. Kamanda Wangwe alipigania mgawanyo wa ruzuku ufike hadi ngazi ya wilaya na sio kuishia makao makuu ambapo huishia kutafunwa na mafisadi na mahawala zao. Pia alipinga upendeleo wa kikanda katika ugawaji wa uongozi hasa viti maalum vya ubunge. Kijana aliyemmaliza kwa sasa amezawadiwa kazi makao makuu ya CDM.
 
Edward Moringe Sokoine,
Kisa alikuwa na msimamo wa ukweli(sio wa kinafki) na alitofautiana na Mwalimu Nyerere.
Akapata ajali ya kutatanisha, akafa.
 
Back
Top Bottom