kapuyanga mkware
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 589
- 143
sheikh Gorogosi
1.chacha wangwe- aliuawa na kina mbowe na dr slaa kwa kuwa alikuwa anataka uenyekiti wa chama kumtoa bi kilembwe(mbowe) wakatengeneza ajali kupitia kijana milya wakamuua kimafia
2.dada yake wa damu na mbowe- kauawa kwa ajali ya kutengenezwa na dj mbowe mr zero muda mfupi baada ya kuhama chadema na kuamia chama cha watanzania CCM na kuwa na nia ya kugombea ubunge ktk jimbo la HAI ambalo kwa sasa linafilisiwa na freeman mbowe.
aliuliwa na mbowe ili asigombee uenyekiti.mbowe utawamaliza wenzako.sasa zamu ya zitoChacha Wangwe aka Ras, aliuliwa kikatili kwenye ajali ya kutengeza hapa Dodoma. Kamanda Wangwe alipigania mgawanyo wa ruzuku ufike hadi ngazi ya wilaya na sio kuishia makao makuu ambapo huishia kutafunwa na mafisadi na mahawala zao. Pia alipinga upendeleo wa kikanda katika ugawaji wa uongozi hasa viti maalum vya ubunge. Kijana aliyemmaliza kwa sasa amezawadiwa kazi makao makuu ya CDM.
acha kupenda hadi kupitiliza,kweli walimkolimbaZero, toa ujinga wako hapa,unaleta upuuzi tupu humu
nataja mie
1---mkurugenzi wa idara ya usalama wa taifa luteni jenerali imran kombe ,ilisemekana alifuatwa na maaskari toka dsm na ilipofika ms awalimtoa roho kwakumiminia risas, kiongozi huyu alipigwa risasi na askari polisi ambao inasemekana walikuwa wamemfananisha na jambazi su
nitajie wengine na ufafanuzi .
yule mwongoza mgomo wa TRC aliyekufa asubuhi kwa shinikizo la damu akijiandaa kwenda kwenye mgomo-jina silikumbuki
Zero, toa ujinga wako hapa,unaleta upuuzi tupu humu
Umeprove kwamba akili yako inadundadunda kwenye makalio yako.