Taja jina la mpigania haki yoyote aliyeuwawa katika mazingira yakutatanisha hapa tanzania.

1.chacha wangwe- aliuawa na kina mbowe na dr slaa kwa kuwa alikuwa anataka uenyekiti wa chama kumtoa bi kilembwe(mbowe) wakatengeneza ajali kupitia kijana milya wakamuua kimafia
2.dada yake wa damu na mbowe- kauawa kwa ajali ya kutengenezwa na dj mbowe mr zero muda mfupi baada ya kuhama chadema na kuamia chama cha watanzania CCM na kuwa na nia ya kugombea ubunge ktk jimbo la HAI ambalo kwa sasa linafilisiwa na freeman mbowe.
 
huyo lt general imran kombe alikuwa anapigania haki za nani?

NATAJA MIE
1---Mkurugenzi wa idara ya Usalama wa Taifa Luteni jenerali Imran Kombe ,ilisemekana alifuatwa na maaskari toka DSM na ilipofika ms awalimtoa roho kwakumiminia risas, Kiongozi huyu alipigwa risasi na askari polisi ambao inasemekana walikuwa wamemfananisha na jambazi su
nitajie wengine na ufafanuzi .

 
Dr sengondo mvungi, maswala ya katiba mpya yametowesha uhai wake. r.i.p. dokta mvungi!
 
Unamzungumzia Alhaj Ndolanga Ahmed? Wameifanya Loliondo sehemu ya ardhi ya Saudia!
 
1. Sheikh Gorogosi
2. Salum Saidi Mgeleka (Diwani kata ya Ibiri-Tabora aliuwawa kwa risasi 2008)
3. Sheikh Kaluta Amri Abeid
4. Prof Haroub Othman
5. Oscar Kambona
6. Kasangatumbo
 
LG Kombe aliuawa na polisi kwa madai ya walimfananisha ba jambazi,

Lakini ukweli nikuwa aliuawa kwakuwa alikuwa akitoa siri za nchi kwa Agustino Lyatonga Mrema ambae alikuwa mpinzani hasa wa ccm.
 
Chacha Wangwe aka Ras, aliuliwa kikatili kwenye ajali ya kutengeza hapa Dodoma. Kamanda Wangwe alipigania mgawanyo wa ruzuku ufike hadi ngazi ya wilaya na sio kuishia makao makuu ambapo huishia kutafunwa na mafisadi na mahawala zao. Pia alipinga upendeleo wa kikanda katika ugawaji wa uongozi hasa viti maalum vya ubunge. Kijana aliyemmaliza kwa sasa amezawadiwa kazi makao makuu ya CDM.

Umenisemea nilichotaka kuongea
 
1.chacha wangwe- aliuawa na kina mbowe na dr slaa kwa kuwa alikuwa anataka uenyekiti wa chama kumtoa bi kilembwe(mbowe) wakatengeneza ajali kupitia kijana milya wakamuua kimafia 2.dada yake wa damu na mbowe- kauawa kwa ajali ya kutengenezwa na dj mbowe mr zero muda mfupi baada ya kuhama chadema na kuamia chama cha watanzania CCM na kuwa na nia ya kugombea ubunge ktk jimbo la HAI ambalo kwa sasa linafilisiwa na freeman mbowe.
Umeprove kwamba akili yako inadundadunda kwenye makalio yako.
 
NATAJA MIE 1---Mkurugenzi wa idara ya Usalama wa Taifa Luteni jenerali Imran Kombe ,ilisemekana alifuatwa na maaskari toka DSM na ilipofika ms awalimtoa roho kwakumiminia risas, Kiongozi huyu alipigwa risasi na askari polisi ambao inasemekana walikuwa wamemfananisha na jambazi su nitajie wengine na ufafanuzi .
Huna uhakika na unachokiandika unaposema "inasemekana"
 
Nipo Mikononi mwa polisi maisha yangu bado ni mikosi afande.

November 2000 iyunga mbeya polisi walifanya mauaji.

Unajua unapozungumzia harakati ni lazima uguse hadi mizizi ya harakati...kwa haraka haraka unaweza kuvaa miwani ya mbao ukawaona tu kina Horice Kolimba,Mzee Mandela na kuwasahau kina Stive Bico walioburuzwa kwenye Convoy za kikaburu hadi kupoteza uhai wakitetea haki ya wengi! R.I.P Michael..uliwahi kunitetea siku Bryan(Iyunga Tech 1999) aliponipa adhabu ya kumwoshea vyombo kwa kuwa yeye alikuwa na mwili jumba!
 
Back
Top Bottom