Taja chuo unachopendekeza Mh. Rais ashtukize

Taja chuo unachopendekeza Mh. Rais ashtukize

Mr egm

Senior Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
154
Reaction score
6
Kuna udhaifu mwingi na uovu mwingi katika watendaji wa baadhi ya taasisi za vyuo kutojitambua na kusababisha migomo na uharibifu wa mali na mazingira!

Weka chuo ama taasisi hapa!
 
Aje Mlimachigongwechikutamapumamengi college huku ndani kabisa Godegode Dom
 
dah nmeznguka na niomeona utawala wa vyuo vingi ila udom shda nyngne,,advertise unaeza kuta ofis zote zmefungwa adi ofis ya mlinzi..
 
aje Udom, hadi leo majina ya continuing students walioomba mkopo hayajapelekwa Heslb.
 
me naona abadilishe kabisa uongozi wa udom chuo kiende mbele
 
Pia kupotea kwa ethics kwa wakufunzi ikiwemo ufauru kutotegemea performance ya mwanafunzi darasani.
 
Back
Top Bottom