Hakuna ch Tafsri hapo.
Tangaza huduma yako watu wakutambue, usipojitangaza hakuna atakayekuwa na habari na wewe. Huduma zako hazitajulikana, yaani hata uwe unamambo makubwa, nani atayajua ilhali umeyafungia ndani.
Mimi sijawahi kukutana na Hao wote niliowataja, Ila huduma zao naziona..
Embu niambie bila media ungemjua Michael Jackson, Obama, Osama, Trump, Magufuli, Diamond, Millard Ayo?
Media ndio uwanja wa kujitangaza, niambie bila media ungemtambua Yesu, Muhamad?
Usipojitangaza utakuwa huna la ziada