M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,150
- 8,133
katika kuweka mambo sawa na kuleta ufanisi katika kila sekta nashauri timu hizi "zinazoitwa" za Taifa na tukae bila hizo timu kwa uchache miaka 4 ili kujipanga upya maana wengi wa wahusika wa michezo wamekalia migogoro, kula pesa (na kutolipa kodi stahiki). Wakora Waitu!!!