Utawala wa Magufuli umejaa neema.
Hadi Taifa Stars imeshinda
Sawa mkuu, wamepata kifuta jasho cha kunywea biaWaliokosa inakuaje? Hcho kinawatosha kulingana na kiwango chao, wamepanda na Fifa kutoka 139-114 si haba waongeze juhudi zaidi!
Sasa wewe unataka wagawane kiasi gani kila mmoja ili soka la bongo liendelee ?$ 10,000 sawa na Tshs 22,000,000/= du sasa hapa watagawana ngapi ngapi sasa! Wakati Malinzi alikua wanachota USD 10,000 peke yake, team ya taifa stars yenye wanasoka zaidi ya 20, bench la ufundi,kamati ya ufundi,Dr wa team, hapa wanafika 30! Zen ndo wagawane hizo 22,000,000 walahi soccer la bongo haliwezi fika popote!
watagawana waliocheza wewe haikuhusu$ 10,000 sawa na Tshs 22,000,000/= du sasa hapa watagawana ngapi ngapi sasa! Wakati Malinzi alikua wanachota USD 10,000 peke yake, team ya taifa stars yenye wanasoka zaidi ya 20, bench la ufundi,kamati ya ufundi,Dr wa team, hapa wanafika 30! Zen ndo wagawane hizo 22,000,000 walahi soccer la bongo haliwezi fika popote!
Wamepandishwa nafasi 25 juzi 6/7/2017Tutapanda kwenye viwango vya Fifa au hii michuano ni sawa tu na ndondo cup?
Cosafa vs Cecafa, ligi/michuano gani bora kwa maana ya maandalizi, ubora wa timu na zawaidi?Huoni kama nikipmo cha ku-Improve kisoka? Au ww kwa akili zako unajua nn? Walioweka hivyo viwango hawana akili au ww ndo huna akili?
Mkuu nazani hujanielewa hoja yangu ni ipi kwenye soccer la bongo!!Sasa wewe unataka wagawane kiasi gani kila mmoja ili soka la bongo liendelee ?
Mkuu,kuna baadhi ya vitu nakubaliana na wewe,kuwalipa posho ni sawa lakini siyo kila mwezi,ni pale watakapokuwa kambini na kwenye mechi za taifa baada ya hapo warudi kwenye timu zao za vilabu ambako ndo kwenye ajira yao.Mkuu nazani hujanielewa hoja yangu ni ipi kwenye soccer la bongo!!
TFF ni taasisi inayojitegemea,inapata rudhuku na pesa za mashindano toka FIFA,CUF na makampuni makubwa kama TBL,Coca cola na serikalini pia!
Hoja yangu ya msingi ni kwa nini TFF wasibuni mbinu mbadala ili waweze kupata pesa zakuweza kuwalipa walau wachezaji wake wa timu ya taifa 1,000,000 kila mwezi??
Mtu una mke,na watoto unaenda kucheza mashindano zen unarudi na laki 500,000 hv hiyo familia utaiendesha vipi? Mchezaji akiumwa hua anatibiwa na nani?? Tumeona pindi wachezaji wanapostaafu kucheza mpira wengi wao hua wezi (Alex Masawe RIP),makondakita( Paul Masanja) wa kwenye mabasi na wengine hata wakiumwa hadi wapate misaada ndo waweze tibiwa hispotalini (Edibily Lunyamila)
Lakini kama mazingira yalikua rafiki kwao wasingeweza kuishi maisha ya tabu kama hayo! Kama Malinzi anaweza kwapua Tshs 880,000,000/= kwa nini wasipewe motisha wachezaji wetu??
yes inapandisha na player caps zinaongezeka.Tutapanda kwenye viwango vya Fifa au hii michuano ni sawa tu na ndondo cup?