π πLeo tupigwe ili pongezi ziende kwa manyonyo kama kawaida
Nitafurahi sana.Wapigwe nne kipindi cha kwanza wasirudi uwanjani π
ππ Imeisha hiyo mkuuMakonda π
SanaWatanzania tuna hasira balaa
Best loser!
Sio hasira ni ujinga na uzazwa.Huwezi kuichukia Nchi yako kwa sababu yeyote ile.Watanzania tuna hasira balaa