hiyo ndo ushindi wetu...labda wenzetu ndo waongeze!!Anatoka Kelvin Friday, anaingia Rashidi Mandawa, dk ya 78 starz 1-1 amavubi
Wenzenu wako afcon nyie mko kwenye mechi za kirafiki.
Ndio uwezo wetu wa mechi za kirafiki, wewe huko kwenu mmeshafika afcon?