Live stream hakuna? Tupeane update za mechi wengine tuko mbali.
Wenzenu wako afcon nyie mko kwenye mechi za kirafiki.
Azam two ndo wanaonesha kupitia azamtv...Channel gani inaonyesha mchezoo huu wakuu...!
Hahaaaa. Wakishindaaa haooo sijuiii. Labda watumiee njiaa zaa kupigaloba. Kamaaa RUVUSHOOTING NDIO WATAWAFUNGA
Afcon baadae sasa hivi starz kwanza!!!!
Mpwaa. Ngoja nichrki dict. Ntarudi. Baadaee
Subiri alieuliza anakujakukwambia mpwaaHapo kwenye red ndio ulikuwa una maana gani?