Mkuu, achana na mpira wa Bongo!....mpira wa Bongo ni presure tu! usipoangalia utapata ugonjwa wa moyo.
Tanzania hatuwezi soccer ya kimataifa na haitakuja kutokea....labda baada ya miaka 500. FULL STOP...Utaki unaacha
Mie mwenzio nilishajiapiza kitambo sana haitakujatokea mimi nikapenda soccer la Bongo! hata pale Taifa sijawahi ingia.Mkuu, inakera sana hii team, ningeandika kama yalivyokuwa moyoni ningekula ban!!
mkuu kama ni kujifunza basi tungekua hata kwenye top50 kwenye rank ya dunia,tutafute kitu kingine cha kufanya tu tunashiriki na sio kushindana
Turudiane...???Sijui kwenye soccer tusimame pande ipi!
Hv kuna kurudiana?
Hao ndo bora kwa wachezaji wa Tanzania tulionao, ebu niambie wewe ungekuwa kocha nani ungemuita timu ya Taifa, halafu unajaribu kutaja wanaotokea Simba makusudi ili ujiridhishe kwamba iliyofungwa ni Simba, kwa taarifa yako iliyofungwa ni timu ya Taifa na kwa nini hujawataja Aggrey Morris, Erasto Nyoni, Frank Domayo, Thomas Ulimwengu waliocheza badala yake unataja Boko, Nyoso, Maftah, Mkude na Boban ambao hata hawakuanza hapo si kutafuta uchokozi.1.kaseja 2.chapombe 3. Maftaa 4.yondan 5.nyoso 6.kazimoto 7. Ngasa 8.boban 9.boko 10. Jonas 11.samata ,. Hii ni timu ya taifa au nimekosea jina? Kwa mwendo huu tz hata malaika aje kutufundisha hatuwezi fika popote
Sijui kwenye soccer tusimame pande ipi!
Hv kuna kurudiana?
halafu unachukua na mchezaji mmoja toka kwenye litimu kimeo limepigwa 5-0 kwenye ligi na kuwa litimu pekee kulambwa 5 na mnyama msimu huu!!Unachukua wachezaji wote toka litimu lilipigwa 12 unategemea nini,. Tuache fitna tz soccer litasonga mbele,. Kibabu kipo golini
Mkuu ninahasira hapa acha tu, niliamua kuandika hivyo kuhofia ban!! Timu haifanyi maandalizi ya kutosha, hapo hapo inajaza wavuta bangi, ukiangalia msingi wa soka nchini unakosa wapi/vipi tunatengeza vipaji vya kuweza kushindana. Hatuna viongozi wabunifu, tunao viongozi wanaoongoza kwa kuiga, mazoea na kutaka kujitajirisha bila kujali wananchi kupitia viingilio wanatutengenezea maradhi na kutupunguzia siku za kuishi.
Hili la kutolewa kila mashindano imeshakuwa jadi, system nzima ya nchi yetu inahitaji Total overhaul kuanzia magogoni hadi kwa mwenyekiti wa mtaa. Nasema hivyo kwa sababu M'kiti wa mtaa wanajua wananchi wanaokaa nao, hivyo hata viwanja vya kufanyia mazoezi wanapiga bei, hivyo hivyo pale magogoni kama mzee mzima anapenda mchezo wa soka, anashindwa nini kusema nahitaji kuona mwezi mmoja kwa mwaka kwa ajili ya michezo, inawezekana hizo week nne zikagawanywa kila miezi mitatu mashindano yafanyike kwenye shule na kuna watu wameajiriwa, hakuna gharama za kuendesha ni amri tu.
Mie mwenzio nilishajiapiza kitambo sana haitakujatokea mimi nikapenda soccer la Bongo! hata pale Taifa sijawahi ingia.
Yaani Arsenal initese na soccer la bongo linitese? Jibu ni hapana....mateso ninayopata na Arsenal ya England yananitosha
Mkuu nashukuru kwa kuliona hilo, hawa washabiki wa Ndala wanafiki sana kama wazee wao kina Yusuf Mzimba na Ibrahim Akilimali, juzi hapa stars imeshinda ikaitwa timu ya Taifa leo imetolewa inaitwa Simba wananiudhi kweli, ndo maana walipigwa mkono.kama umechangia kwenye hii thread, sina shaka kuwa nawe ni mfuatiliaji mzuri tu wa soka bongo ndo maana ulijua kuwa stars inacheza leo, ila ndo utanzania tena, timu ikishinda mnaipenda, ikishindwa mnaikana tena kwa kauli tete!!
halafu unachukua na mchezaji mmoja toka kwenye litimu kimeo limepigwa 5-0 kwenye ligi na kuwa litimu pekee kulambwa 5 na mnyama msimu huu!!