KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulen ametaja kikosi chake kitakachoanza mechi ya leo dhidi ya Msumbiji (The Mambas) itakayochezwa Uwanja wa Taifa ulioko Zimpeto Maputo. Mechi itaanza saa 10 kamili.
Stars inaundwa na;1. Juma Kaseja, 20. Shomari Kapombe, 22. Erasto Nyoni, 6. Aggrey Morris, 5. Kevin Yondani, 19. Shaabani Nditi, 8. Mrisho Ngasa, 16. Frank Domayo, 11. Thomas Ulimwengu, 10. Mbwana Samata na 15. Mwinyi Kazimoto.
Wachezaji wa akiba;18. Deogratias Munishi, 17. Amir Maftah, 13. Jonas Mkude, 3. Haruna Moshi, 12. Simon Msuva, 9. Christopher Edward, 14. John Bocco, 7. Ramadhan Singano na 21. Nurdin Bakari.