Taifa stars na misri

Taifa Stars wangekuwa wana japo ka amsha amsha, huku mtaani tungesikia kelele za ushabiki za masela zikitokea vibanda umiza, lakini mpaka sasa ni ziiii!, sisikii makelele kutoka vibanda umiza wala nini, ukiona hivyo timu yetu inakimbiakimbia tu uwanjani.
 
Azam App not responding... Hii app imeshaanza kuzingua hata kabla mashindano ya Afcon hayajaanza...pambav kabisa
Mkuu ushapewa link hapo juu unanung'unika nini mbona mna nongwa sana anzisha ya kwako tuone ubora
 
Ni dk ya 65 Egypt wanaongoza 1-0 usishangae mpaka game inaisha tukachezea mkono
 
Naona Mo Salah alikua anacheka chema tu pale Benchi la Ufundii

Huyu jamaa Amri Walda Kasumbua kinoma Saana

Tulikua Tunakimbia kimbia tuu
 
TBC hovyo sana hawana ubunifu kabisa badala ya kuonyesha vipindi na maudhui yanayopendwa na wengi wao wamenga'ang'ania kuonesha kipindi cha TUNATEKELEZA.

Kwa msingi huu wataendelea kulipwa kodi za wananchi miaka yao yote.
SHIDA YA TBC...NI KAMA OFISI NYINGINE YOYOTE YA UMMA...KWA SABABU HALIPWI KUTOKANA NA SALES ILIYOSABABISHWA NA IMPACT YAKO KAMA MFANYAKAZI...

TBC WANALIPWA...YAANI IANGALIWE AU ISIANGALIWE...MSHAHARA WAINGIA...

YAANI NI HIVI TBC SI SAWA NA CLOUDS...MAANA CLOUDS WANAKULIPA KULINGANA NA JINSI KIPINDI CHAKO KINAVYOVUTA WATAZAMAJI AU WASIKILIZAJI WENGI...

TBC HAIKUHUSU WEWE MTAZAMAJI...WALA HUWAKUNI HATA USIPOITAZAMA...NI UTUMBO TU...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom