Taifa star vs botswana zimetoshana nguvu

bemg

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
2,799
642
Mechi ya kirafiki kati ya Tanzania(Taifa stars) na Botswana iliyochezwa leo usiku jijini Gaborone imeisha kwa sare ya mabao 3 kwa 3. kila timu ilifunga magoli mawili kipindi cha kwanza.kipindi cha pili kila timu ilifunga goli moja na kufanya mpira kuisha kwa jumla ya magoli 3 kwa Tanzania na 3 Kwa Botswana
 
Wafungaji please!
 
Hongera zao,kazi nzuri kama wanaweza kufunga hata ma3 sasa
 
Lie up ilikuwaje?

Asking of the Line up siyo? ilikuwa:-
Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Amir Maftah, Aggrey Morris, Kelvin Yondani, Frank Domayo/Shabani Nditi, Mrisho Ngasa, Salum Abubakar/Athuman Idd, Said Bahanuzi/Simon Msuva, Haruna Moshi/Ramadhan Singano na Mwinyi Kazimoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom