mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 6,200
- 6,465
Ukawa hawajajipanga...
Hawana watu wasiozidi hata mkono mmoja wenye weledi wa kusimamia rasilimali za Taifa hili...
Wapo katika kujaribu bahati yao ya kwenda Ikulu...
Mustakabali ya maisha ya watu si mahali pa mizaha na maabara za uongozi,
Nimekua nikifuatilia kauli na mienendo ya viongozi wategemewa wa Chadema, NCCR, CUF na NLD, kwa ujumla wake, wanakosa weledi, uzalendo na nia ya dhati kututoa katika changamoto kama Taifa,
Wengi wao, wanajaribu bahati zao.....
Sasa ni hatari mno, kumpa mtu nafasi ambayo alikua akijaribu tu bahati yake, bila kua na mipango dhabiti ya kuitumikia nafasi husika.
Mwananchi ipe thamani kura yako, kwa kuiacha nchi katika mikono salama ya CCM.
Ukawa, nakuhakikishia, hakuna watu wa kulipeleka taifa hili mbele.
Oktoba 25, fanya Uchaguzi sahihi, linda nchi yako.
mkuu stroke nadhani unashindwa kutofautisha salama,amani na utulivu.
Last edited by a moderator: