Taifa ni salama zaidi, likibakia chini ya CCM

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,017
Reaction score
51,134
Ukawa hawajajipanga...

Hawana watu wasiozidi hata mkono mmoja wenye weledi wa kusimamia rasilimali za Taifa hili...

Wapo katika kujaribu bahati yao ya kwenda Ikulu...

Mustakabali ya maisha ya watu si mahali pa mizaha na maabara za uongozi,

Nimekua nikifuatilia kauli na mienendo ya viongozi wategemewa wa Chadema, NCCR, CUF na NLD, kwa ujumla wake, wanakosa weledi, uzalendo na nia ya dhati kututoa katika changamoto kama Taifa,

Wengi wao, wanajaribu bahati zao.....

Sasa ni hatari mno, kumpa mtu nafasi ambayo alikua akijaribu tu bahati yake, bila kua na mipango dhabiti ya kuitumikia nafasi husika.

Mwananchi ipe thamani kura yako, kwa kuiacha nchi katika mikono salama ya CCM.

Ukawa, nakuhakikishia, hakuna watu wa kulipeleka taifa hili mbele.

Oktoba 25, fanya Uchaguzi sahihi, linda nchi yako.
 
Mkuu kwanini usiseme tumbo lako litakuwa salama zaidi CCM ikibaki madarakani?
 
SALAMA NDIO HII ??????

Last edited by a moderator:

Hacha kukariri wewe! usalama gani unauzungumzia?

1.Unataka nikupe takwim ya vijana wanao ikimbia nchi hii kwa ugumu wa maisha then ndo utajua nchi hii kama ilikuwa na viongozi weredi? kama hiyo haitoshi najua utasema hao hawajasoma walikimbia shule, OK,

2.Unataka nikupe list ya madaktari wanaoikimbia tanzania kwenda nchi za nje tena wengine wamejaa apa botswana kwa sabb ya nchi kushindwa kujali vizuri professional za wasomi wa yake? kama hiyo haitoshi

3.Unataka nikupe list ya makumpuni ambayo yameanguka gafla na wafanya biashara kurudi nyuma gafla kwa sababu ya shilling ya Tanzania kushuka? mtu alikuwa anafuata mzigo china, akibadarisha shilling 100 milion anapata 80 au 70,000 usd elf, na hivyo kuleta ka-konteina kake. sasa hivi, ukibadirisha shs 100 milion unapata usd 49.8 elf USD. niambie uta agiza nini tena?, matokeo yake nikijikwamua nikaongeza hela na kuleta, wanakuja kuhumia ni final user!!!! kama hiyo haitoshi

4. Katika nchi za africa unaweza ukanipa mfano wa nchi yoyote inayotoza ushura wa magari zaidi kama Tanzania? unanunua gari 7milion, likifika tanzania ushuru 8milioni,total 15mil, arafu eti nchi hii ni maskini !

5.Yaan Kikwete bora ushukuru Mungu katiba hamruhusu aendelee zaidi ya miaka 10 kuwa raisi. ingemruhusu, kipindi kingine tunge mtimlia mbali kabisa!! unaweza kunipa mfano apa nchi za africa, nchi iliyo vunja baraza la mawaziri, kubadirisha mawaziri, na makashfa ya kibao tulivyo viona kwenye utawala wake?

USIPENDE KUKARIRI AMAN, AMAN, WAKATI UPANDE WA PILI WATU WANAOMBOLEZA!!!!
Juzi mwanza magufuli anasema "ukiuza samaki-USHURU, salooni kunyoa nywere-USHURU, Mama lishe-USHURU, Anadai ata ondoa kero hizo, nikuhulize wewe mtoa mada hizo kero nani kaziweka?

JIPANGE VIZURI ULETE HOJA YENYE MASHIKO BNA.
 
Mimi mwenyewe nikianza kutathmini mmoja baada ya mwingine napata shaka, wengine walikua mawaziri wakuu miaka kumi eti leo walete mabadiliko.Mwingine kazeekea CCM eti leo ndio anakumbuka kuondoka, yaani pale hamna kitu kabisa.
 
CCM wanawaza upigaji tu siku zote na nchi iko salama kwao,wadanganyeni watoto wa chekechea

darasa.jpg
 
Mimi mwenyewe nikianza kutathmini mmoja baada ya mwingine napata shaka, wengine walikua mawaziri wakuu miaka kumi eti leo walete mabadiliko.Mwingine kazeekea CCM eti leo ndio anakumbuka kuondoka, yaani pale hamna kitu kabisa.

Nafuu jiwe likae ikulu kuliko CCM
 
hakika..Tanzania ni ''salama'' zaidi mikononi mwa CCM
Kero-ya-Maji--620x308.jpg
 
Hujaongea kitu,kajipange upya.
Mimi mwenyewe nikianza kutathmini mmoja baada ya mwingine napata shaka, wengine walikua mawaziri wakuu miaka kumi eti leo walete mabadiliko.Mwingine kazeekea CCM eti leo ndio anakumbuka kuondoka, yaani pale hamna kitu kabisa.
 
Ukawa hawajajipanga...

Hawana watu wasiozidi hata mkono mmoja wenye weledi wa kusimamia rasilimali za Taifa hili...

Wapo katika kujaribu bahati yao ya kwenda Ikulu...

Mustakabali ya maisha ya watu si mahali pa mizaha na maabara za uongozi,

Nimekua nikifuatilia kauli na mienendo ya viongozi wategemewa wa Chadema, NCCR, CUF na NLD, kwa ujumla wake, wanakosa weledi, uzalendo na nia ya dhati kututoa katika changamoto kama Taifa,

Wengi wao, wanajaribu bahati zao.....

Sasa ni hatari mno, kumpa mtu nafasi ambayo alikua akijaribu tu bahati yake, bila kua na mipango dhabiti ya kuitumikia nafasi husika.

Mwananchi ipe thamani kura yako, kwa kuiacha nchi katika mikono salama ya CCM.

Ukawa, nakuhakikishia, hakuna watu wa kulipeleka taifa hili mbele.

Oktoba 25, fanya Uchaguzi sahihi, linda nchi yako.

CCM Wameinajisi nchi hii vya kutosha

Inatosha sasa.
 
Hacha kukariri wewe! usalama gani unauzungumzia?

1.Unataka nikupe takwim ya vijana wanao ikimbia nchi hii kwa ugumu wa maisha then ndo utajua nchi hii kama ilikuwa na viongozi weredi? kama hiyo haitoshi najua utasema hao hawajasoma walikimbia shule, OK,

2.Unataka nikupe list ya madaktari wanaoikimbia tanzania kwenda nchi za nje tena wengine wamejaa apa botswana kwa sabb ya nchi kushindwa kujali vizuri professional za wasomi wa yake? kama hiyo haitoshi

3.Unataka nikupe list ya makumpuni ambayo yameanguka gafla na wafanya biashara kurudi nyuma gafla kwa sababu ya shilling ya Tanzania kushuka? mtu alikuwa anafuata mzigo china, akibadarisha shilling 100 milion anapata 80 au 70,000 usd elf, na hivyo kuleta ka-konteina kake. sasa hivi, ukibadirisha shs 100 milion unapata usd 49.8 elf USD. niambie uta agiza nini tena?, matokeo yake nikijikwamua nikaongeza hela na kuleta, wanakuja kuhumia ni final user!!!! kama hiyo haitoshi

4. Katika nchi za africa unaweza ukanipa mfano wa nchi yoyote inayotoza ushura wa magari zaidi kama Tanzania? unanunua gari 7milion, likifika tanzania ushuru 8milioni,total 15mil, arafu eti nchi hii ni maskini !

5.Yaan Kikwete bora ushukuru Mungu katiba hamruhusu aendelee zaidi ya miaka 10 kuwa raisi. ingemruhusu, kipindi kingine tunge mtimlia mbali kabisa!! unaweza kunipa mfano apa nchi za africa, nchi iliyo vunja baraza la mawaziri, kubadirisha mawaziri, na makashfa ya kibao tulivyo viona kwenye utawala wake?

USIPENDE KUKARIRI AMAN, AMAN, WAKATI UPANDE WA PILI WATU WANAOMBOLEZA!!!!
Juzi mwanza magufuli anasema "ukiuza samaki-USHURU, salooni kunyoa nywere-USHURU, Mama lishe-USHURU, Anadai ata ondoa kero hizo, nikuhulize wewe mtoa mada hizo kero nani kaziweka?

JIPANGE VIZURI ULETE HOJA YENYE MASHIKO BNA.
Uko vzur ndug nakusaport sana
 
Ukawa hawajajipanga...

Hawana watu wasiozidi hata mkono mmoja wenye weledi wa kusimamia rasilimali za Taifa hili...

Wapo katika kujaribu bahati yao ya kwenda Ikulu...

Mustakabali ya maisha ya watu si mahali pa mizaha na maabara za uongozi,

Nimekua nikifuatilia kauli na mienendo ya viongozi wategemewa wa Chadema, NCCR, CUF na NLD, kwa ujumla wake, wanakosa weledi, uzalendo na nia ya dhati kututoa katika changamoto kama Taifa,

Wengi wao, wanajaribu bahati zao.....

Sasa ni hatari mno, kumpa mtu nafasi ambayo alikua akijaribu tu bahati yake, bila kua na mipango dhabiti ya kuitumikia nafasi husika.

Mwananchi ipe thamani kura yako, kwa kuiacha nchi katika mikono salama ya CCM.

Ukawa, nakuhakikishia, hakuna watu wa kulipeleka taifa hili mbele.

Oktoba 25, fanya Uchaguzi sahihi, linda nchi yako.

Mimi mwana CCM Kindakindaki naapa kuwa nitampigia kura EDWARD NGOYAI LOWASSA anayeiwakilisha CHADEMA kupitia mwamvuli wa Muungano wa vyama vya UKAWA. Kama kuna wakati ambapo CCM inahitaji kujipanga vyema na kurekebisha mapungufu yaliyopo wakati huo ndio sasa.Kwa yeyote anayeipenda CCM kama mimi,naomba kwa Moyo Mkunjufu tuiweke CCM pembeni ili ikajikague,ikajitafakari na kisha ijipange kwa ajili ya 2020 - 2025.Gari ama mashine yeyote ile hata iwe "tingatinga" ikiharibika sharti iwekwe pembeni ili ifanyiwe marekebisho muhimu.Ukiilazimisha iendelee na kazi ama iendelee na safari madhara yake ni makubwa sana kwa abiria,mazingira na hata watu waliokaribu na mashine hiyo!!Kataa vitisho,kataa kununuliwa kama bidhaa,kataa uchochezi,kataa ahadi hewa zisizotekelezeka,kataa michezo michafu ya Kisiasa...Jiandae kupiga kura yako kwa Diwani,Mbunge na Rais wa UKAWA.....MUNGU ibariki TANZANIA na watu wake wote!!
 
Back
Top Bottom