Taifa ni salama zaidi, likibakia chini ya CCM

Ukawa hawajajipanga...

Hawana watu wasiozidi hata mkono mmoja wenye weledi wa kusimamia rasilimali za Taifa hili...

Wapo katika kujaribu bahati yao ya kwenda Ikulu...

Mustakabali ya maisha ya watu si mahali pa mizaha na maabara za uongozi,

Nimekua nikifuatilia kauli na mienendo ya viongozi wategemewa wa Chadema, NCCR, CUF na NLD, kwa ujumla wake, wanakosa weledi, uzalendo na nia ya dhati kututoa katika changamoto kama Taifa,

Wengi wao, wanajaribu bahati zao.....

Sasa ni hatari mno, kumpa mtu nafasi ambayo alikua akijaribu tu bahati yake, bila kua na mipango dhabiti ya kuitumikia nafasi husika.

Mwananchi ipe thamani kura yako, kwa kuiacha nchi katika mikono salama ya CCM.

Ukawa, nakuhakikishia, hakuna watu wa kulipeleka taifa hili mbele.

Oktoba 25, fanya Uchaguzi sahihi, linda nchi yako.

Eti nini? Unaumwa wewe!!!!! MIKONO SALAMA YA KUIBA HELA KWA UFISADI!!! MWEZI HUU NDO MWISHO WENU, JITANUENI VYA MWISHO MWISHO
 
Mimi mwenyewe nikianza kutathmini mmoja baada ya mwingine napata shaka, wengine walikua mawaziri wakuu miaka kumi eti leo walete mabadiliko.Mwingine kazeekea CCM eti leo ndio anakumbuka kuondoka, yaani pale hamna kitu kabisa.

Kwahiyo kuna nini???? Wewe ndio hakuna kitu kabisa
 
hakika..Tanzania ni ''salama'' zaidi mikononi mwa CCM
Kero-ya-Maji--620x308.jpg

Tanzania ni salama kwa mafisadi ila mwisho wenu ni 25/10/2015.CCM inaenda kuanguka hamtaamini.
 
Ukawa hawajajipanga...

Hawana watu wasiozidi hata mkono mmoja wenye weledi wa kusimamia rasilimali za Taifa hili...

Wapo katika kujaribu bahati yao ya kwenda Ikulu...

Mustakabali ya maisha ya watu si mahali pa mizaha na maabara za uongozi,

Nimekua nikifuatilia kauli na mienendo ya viongozi wategemewa wa Chadema, NCCR, CUF na NLD, kwa ujumla wake, wanakosa weledi, uzalendo na nia ya dhati kututoa katika changamoto kama Taifa,

Wengi wao, wanajaribu bahati zao.....

Sasa ni hatari mno, kumpa mtu nafasi ambayo alikua akijaribu tu bahati yake, bila kua na mipango dhabiti ya kuitumikia nafasi husika.

Mwananchi ipe thamani kura yako, kwa kuiacha nchi katika mikono salama ya CCM.

Ukawa, nakuhakikishia, hakuna watu wa kulipeleka taifa hili mbele.

Oktoba 25, fanya Uchaguzi sahihi, linda nchi yako.

Issue sio Lowassa Atanya nini , msipotoshe watu . Watu wakimchaguwa Lowassa wamechaguwa ukawa , na wamebadilisha katiba ya nchi, Kitu ambacho watu wako wa ccm hawawezi kufanya kamwe wakati Huwo ndio msingi wa mabadiliko ,
 
Ivi wewe mtoa mada una uelewa kweli? mbona mnafanya vitu vikubwa kuwa vyepesi kama vichwa vyenu? unaposema hawajajipanga au hawana watu wenye weledi je serikali hii inapata msukumo kwa nani? na je ivi skendo zote za wizi wa pesa za serikali ni mbunge gani wa ccm ashawahi kuibua? na mwisho hebu nambie ule mpango wa kila kitu bungeni ni ndioooo! Ivi ni akina nani wale? wewe unaonekana siasa umezivamia tu ila siyo fun yako.
 
Magufuli anasema ataanzisha Mahakama ya mafisadi ,Bila kusema nitabadili katiba Kama si usanii ni nini,

Kuna mawili ,

1) utakuwa unafaidika na ccm kwa njia moja au nyingine kwa kupewa hela , kwa kipindi ichi tena hela yenyewe haizidi laki tano, au inakazi ccm au mzazi wako ndio anapo patia kula Yake na Kutuibia vilevile

2) ama akili Yako ni ndogo Sana na hatistaili ata kukujibu au kukuelewesha kwa sababu hautaelewa ata aje Nani ,. Na Hilo pole Sana
 
Hapa kazi tu,magufuli atosha hana Mpinzani,hata ukawa mfanye nini tumeshawashinda kwa hoja hizi mnazotoa za kudanganya watoto,sisi ni watu wazima
 
Wewe Mtu ? Ebu jikirie unalipwa shilling I ngapi kwa mda huu mfupi , alafu angalia ndugu Zako kijijini kama sio Ata mama Yako anavyoteseka na wewe utakavyokuwa unateseka miaka Mitano ,

Kama wewe ni Mtu mzima? Jiulize magufuli ananyoongea ufisadi kwamba haupendi na atawafunga, alafu anaenda kumnadi gwiji Lao CHenge Kuwa mbunge , ambaye Hamna ata kashfa moja amekosa kuwemo ya nchi hii,

Alafu jiulize Kama wewe kweli ni Mtu mzima au La!!!
 
Aman ya tanzania inalindwa na watanzia wenyewe wala sio ccm, kwa ushenzi ccm ilioufanya miaka 54 yote hiyo bila watanzania kuthamini Aman yao wallah pasinge kalika hapa.
 
Ukawa hawajajipanga...

Hawana watu wasiozidi hata mkono mmoja wenye weledi wa kusimamia rasilimali za Taifa hili...

Wapo katika kujaribu bahati yao ya kwenda Ikulu...

Mustakabali ya maisha ya watu si mahali pa mizaha na maabara za uongozi,

Nimekua nikifuatilia kauli na mienendo ya viongozi wategemewa wa Chadema, NCCR, CUF na NLD, kwa ujumla wake, wanakosa weledi, uzalendo na nia ya dhati kututoa katika changamoto kama Taifa,

Wengi wao, wanajaribu bahati zao.....

Sasa ni hatari mno, kumpa mtu nafasi ambayo alikua akijaribu tu bahati yake, bila kua na mipango dhabiti ya kuitumikia nafasi husika.

Mwananchi ipe thamani kura yako, kwa kuiacha nchi katika mikono salama ya CCM.

Ukawa, nakuhakikishia, hakuna watu wa kulipeleka taifa hili mbele.

Oktoba 25, fanya Uchaguzi sahihi, linda nchi yako.

eti eeeeh
 
mbona tumevumilia miaka 54 tutashindwa miaka mi5, wacha wakae bench kwanza walifanya chama cha mama zao, watu tunaumia wao wananenepa,
 
Kwan serkal kuu ikabdlka wanabadlka watumishi wote wa srkal??? Weled utabaki palepale tunachotaka ni dimension mpyacya taifa watumishi wenye weled na wazalendo wako tayari kutumikia serkal yoyote usiwe na mawazo ya ktoto unajua wanaonufaika na mfumo huu wako tayari kuutetea mpaka watakufa kwakuwa uzalendo umeondolewa na ccm na xax kla mwanaccm anaangalia tumbo lake,ebu angalia mawazo walyokuwa nayo wanaccm waliokuwa dodoma kwenye bunge la katba kabla mwenyekt wao hajahutubia halafu angalia walvobadlka baada ya mwenyekt wao kuhutbia kwa kuogopa kumwaga ugali!!
 
Ukawa hawajajipanga...

Hawana watu wasiozidi hata mkono mmoja wenye weledi wa kusimamia rasilimali za Taifa hili...

Wapo katika kujaribu bahati yao ya kwenda Ikulu...

Mustakabali ya maisha ya watu si mahali pa mizaha na maabara za uongozi,

Nimekua nikifuatilia kauli na mienendo ya viongozi wategemewa wa Chadema, NCCR, CUF na NLD, kwa ujumla wake, wanakosa weledi, uzalendo na nia ya dhati kututoa katika changamoto kama Taifa,

Wengi wao, wanajaribu bahati zao.....

Sasa ni hatari mno, kumpa mtu nafasi ambayo alikua akijaribu tu bahati yake, bila kua na mipango dhabiti ya kuitumikia nafasi husika.

Mwananchi ipe thamani kura yako, kwa kuiacha nchi katika mikono salama ya CCM.

Ukawa, nakuhakikishia, hakuna watu wa kulipeleka taifa hili mbele.

Oktoba 25, fanya Uchaguzi sahihi, linda nchi yako.

Unarudia maneno Yale Yale waliyotumia wakoloni miaka ya 1960 wakati tunadai Uhuru...labda nikukumbushe Tanzania ilikuwa na usalama mkubwa wakati tunadai Uhuru, Usalama na amani ni tunu adhimu ambayo haimilikiwi na chama chochote cha siasa Bali ni vipo ndani ya hulka na silka ya watanzania.
 
Mwanzo Kabla Ya Kifo Cha Mwl Nyerere Wengi Waliamini Bila Yeye Bado Nchi Haitaenda Ila Najua Majibu Unayo Hivyohivyo Kuondoka Kwa Ccm Pia Nchi Itasonga Tu Pia Kuna Wasomi Wengi Makini Sana Ndani Ya Ukawa Vijana Wenye Nguvu Na Akili.Tanzania Bila Ccm Inawezekana Utaona Kuanzia 26.
 
Back
Top Bottom