zimwimtu
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 1,988
- 1,097
Huko mumbai india bei ya mafuta ni 2800Tsh/liter nako uchumi umedorola????? acha kukariri.kuna watu kuwatongoza raha sana maana wana rubunika na vitu vidogo na vya kipumbavy kama wewe, sasa uzonduzi wa ukuta nao ni ukuaji wa uchumi,, au hujui kwamba bidhaa na mafuta bei imepanda kutokana na uchumi wetu kudorora? khaaa kweli CCM.Imejaza vilaza huko lumumba ndio Maana nchi inawashinda kuongoza kwa akili hizi?? hahahaaaa eti tizama TBC bila hata aibu? kweli kuna watu.akili zipo kwenye mtako