Taifa litazame kwanza Hatima ya Utekaji na Mauaji ya Kisiasa Kabla halijatazama suala la Rais Samia Kugombea au Kutogombea!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Kwa Mara nyingine tena naandika nikilitaka Taifa, Lijiulizwe maswali haya Kisha liamue Je Rais Samia agombee hata kama Kavunja Katiba za Chama na Taifa, au Azuiliwe Kugombea Kwa namna yoyote inavyowezekana?.

Je Utekaji Mwisho wake utakua Lini ikiwa Rais Samia ataendelea ?.

Je Mauaji ya Kisiasa yataisha lini ikiwa Rais Samia ataendelea?.

Je Matumizi Mabaya ya Vyombo vya Dola Kwa Wakosoaji wa Rais Samia yataisha lini ikiwa ataruhusiwa kuendelea??.

Je ni nani anayewateka Watanzania, nan huyu anawajua Watanzania katika Ardhi Yao, Kwa manufaa yake Binafsi?.

Je ni nani huyu atumiaye Mgongo wa Kulinda Amani ya Nchi kutekeleza Mauaji?. Kwanini huyu Mtekaji na Muuaji hawakamati hao anaona ni tishio la Usalama wa Nchi na kuwapelekea Mahakaman?.

Msingi wa Maswali hayo ni, Namna ambavyo Rais Samia ,anavyoendelea kushughulika na Wapinzani wake Ndani ya Chama na Vyama vya Upinzani, Taasisi mbalimbali za Kidini Mf TEC , Wanaharakati watetezi wa Haki za Binadamu , MTU mmoja' Mmoja asiyena chama n.k

Ikumbukwe Kua, Rais Samia, ataendelea kukosolewa, Je Rais Samia kutokua na Uvumilivu na Ustahimilivu wa Kukosolewa

Tuzingatie, Wapo Wasokua na Vyama wao wanaokosoa Kwa Uchungu baada ya Kuona Nchi yao
Rasilimali zinakabidhiwa wagen!!

Ajira zao zinaporwa na Wachina !!

Je Watu Hawa pia waendelee Kutekwa ,Kuuliwa na Kufunguliwa Makesi ya kihuni?.

Wapo Wanasiasa, Wao wanakosoa namna ambavyo Uongozi unavyowatendea ,
Viongozi wao kufunguliwa Makesi

Chama chao kufunguliwa Makesi na kuzuiwa kufanya siasa
Wanahitaji Reforms

Hawa nao wataendelea kumkosoa tu ,je Kwakua wataendelea kumkosoa, nao Utekaji na Mauaji juu yao vitaendelea?

Lakini wapo, Wao wanasema Nchi hii ni yetu sote, Tunahitaji Katiba MPYA, kelele zao zinaakisi Kelele za Wananchi katika Pendekezo la Katiba MPYA chini ya Jaji Warioba, Je nao kwakua wataendelea kudai Katiba MPYA, Utekaji na Mauaji juu yao utaendelea?.

Je Kila Mzalendo ambaye lazima atakua Mkososaji pale mambo yatakapoenda Kombora, Aanze kuanda Jeneza na Kaburi lake ?.

Je Kila Mzalendo huyo aandike Uurithi na kuwaaga Ndugu zake kabisa?.

Ukweli ni kua ,Wazalendo wataendelea kumkosoa tu Rais Samia, katika ukweli huohuo, Je Taifa likubali kua na Utekaji, Mauaji, Makesi ya Kihuni nayo yaendeleee??.

Lakini pia Kuna Watu, ambao Tayari MIOYO yao imeumizwa ,MIOYO yao imepondwa, kwao Wanatamani Kauli ya MTU mmoja' tu kuwapa Furaha ,japo waone wamekumbukwa , japo waone Ndugu zao walotekwa, kuuliwa, kufungwa wamepewa haki Yao... Ninani Sasa wakuwapa Faraja watu Hawa?

Taifa limefika katika wakati ambao , HAMNA NAMNA NYINGINE, Bali linahitaji mtu mmoja wakusema sasa basi, imetosha. Mauaji na utekaji havitakuwepo tena, kesi za kisiasa zisizo za kweli zimekoma, rasilimali za nchi zinarejeshwa, wazawa wanapewa kipaumbele, uhuru wa kuabudu hautaingiliwa tena, kila mtanzania ataifurahia nchi yake , udini katika serikali utakoma

Ni nani wa kututoa hapa?.

Labda wanaanza kudili na mzizi ŵa tatizo
 
Dogo vidole vitaota sugu hivyo kwa kuandika ndoto
 
Uvivu tu wa kutumia bando lako kibiashara. Suala la Samia kugombea Oktoba 2025 ni irreversible, na kushinda ana shinda.

Jiandalie tu lignocaine au tramadol kwa kupoza maumivu ya kichwa, maana ni hadi 2030
 
Kwa mujibu wa Polepole ni kwamba suala la utekaji kulimaliza ni dakika moja tu.....ni suala tu la yule mtu ( mmiliki wa kikundi hicho) kuamuru watu wake kuacha utekaji. Unamfahamu mtu yule? Ni yule anayegawa bure baiskeli na pikipiki nchi nzima
 
Back
Top Bottom