Taifa limechanganyikiwa?

Mabadiliko hatuwezi kuletewa na viongozi walewale wa kila siku...mbaya zaidi hata viongozi wapya vijana huko chawala hakuna wajasiri waadilifu ni wa kuhesabu..ukoo wa panya wakifisadi kila mtu anawaza apate nafasi apige asepe walahu tu achote kama ni billion zake tano hata mkifukuza hiko cheo fresh tu..madeal madeal
 
Kafara la kukimbiza moto[emoji2827]
 
Si kila chizi karogwa.[emoji2827]
 
Iko hivii? Dhambi hufanywa ufichoni lakini kuna nguvu ya Mungu hutokeaga na kisha kuifanya dhambi hiyo kubumburuka!

Mf:mtu anafanikisha kuvunja na kuiba, lakini anadondosha kitambulisho eneo la tukio!

Mtu anamsaliti mkewe, lakini anafumaniwa "anaye" sehemu tena ghafla bila ya mkewe huyo kupanga kupitia eneo hilo la mafichoni kona kona vichochoroni huko!

Mifano hiyo ya mambo madogo, hutenda hata kwa mambo makubwa.

Sasa na hili genge limekula na kusahau kufuta midomo na kubakiza mabaki ya wali videvuni mwao kupelekea kila mtu kuelewa kuwa wametoka kula.

Wanapokuja kujiangalia kwenye kioo na kujifuta, haisaidii sababu kila mtu kaona
mabaki midomoni mwao na kishajaji!

Tunaomwamini Mungu tunaelewa kuwa nguvu ya kudhalilisha waovu ipo na inafanya kazi daima.

Ninachochukia mimi ni kampeni ya kichawa inayofanywa na Mawaziri, Wabunge na kila aina ya wateuliwa kusifia bila kukosoa mpaka anayesifiwa mwenyewe kushitukia!

Ninadhani kipindi hiki cha mpito kinachoibua mambo ya hovyo hovyo na ya kukera namna hii, yaweza kuwa ni njia ya kusudi la Mwenyezi Mungu kutuonesha ya sirini ambayo watawala hawataki tuyajue ili sasa maamuzi yabakie kwetu wenyewe!
 
Lkn mkuuu mbna mlikuwa mnamuona magufuli kuwa mbinafsi ,umeona sas umehimu wa jiwe pmj na ishu zake ila jiwe alikuwa rais wa kweli kbsa kwa watanzani

Iliapzwa vyma vyote viungane kumsapoti magufuli kwa kipindi kile

Leo had na wew una lia lia tena bila aibu ,bila kuficha ids kbsa ,hpn mkuu siyo swaa kbsa nyie peopless mlifurahia san magufulia alivyo kufa na mlifanya sherehee kbsaa hvyo sioni sababu wa mtu yoyote kutoka chadema kuanza vilio huku
 
Ninachochukia mimi ni kampeni ya kichawa inayofanywa na Mawaziri, Wabunge na kila aina ya wateuliwa kusifia bila kukosoa mpaka anayesifiwa mwenyewe kushitukia[emoji1752]
 
Tena huyo ndio chanzo cha madhila yote haya usimpambe hapambiki
 
Mshana Jr nyamaza kabisa tena funga domo lako mlaba asali mkubwa. Wewe ni moja ya watu mliofanya sherehe kuwaunga mkono waliofanikisha mauaji ya Dkt Magufuli, na mlijipambanua kuwa mnashukuru kwa ujio wa Rais Samia. Nadhani mtulie tu maana laana ya mkuu wa nchi siyo jambo dogo na yule mdau aliyesema rais akifa akiwa madarakani nchi inakuwa kwenye hali ya tahadhari hata kwa miaka 30 ni kweli. Kibaya viongozi wetu waliotekeleza hayo mauaji ya rais aliyekuwa madarakani hawana aibu, yaani wamekuwa wakijiweka wazi kabisa bila kifichao mara Mungu kaamua ugomvi mara nimekuwa rais kwa Kudra za Mwenyezi mungu mara watu wazuri hawafi etc. Kikubwa pamoja na tofauti zetu tusiruhusu mauaji mengine yatokee, sisi wazalendo tulishakubali wauaji walifanikiwa na mtu wetu hayupo so tusonge mbele ila waache dharau na majigambo
 
Jadili kwa heshima la sivyo hatutawezana, huyo unayejaribu kumtetea ndio anatusababishia upuuzi wote huu unaotokea sasa
Kungekuwa na mgawanyo wa madaraka na weledi kwenye kuteua na kuchagua taifa lisingefika hapa tulipo sasa
Mungu aliamua ugomvi mkubwa sana kilichofutikwa chini ni uvundo hata kimwagiwe pipa la marashi hakitaacha kunuka na harufu yake inaenda maili nyingi sana
 
Tena huyo ndio chanzo cha madhila yote haya usimpambe hapambiki
Mshana Jr wewe siyo mtu wa low IQ kiasi hicho. Dkt Magufuli alikuwa na dhamira njema na nchi yetu. Najua unafahamu kabisa hakuna nchi iliyoendelea bila kuwa na msimamo wa kuondoa tofauti. Ndiyo maana hata Ulaya wanawafundisha watoto wao na kuwaambia waafrica ni wajinga na hawana akili na ni wakutawaliwa. Ndiyo maana likija suala la maslahi ya kitaifa wanaungana. Sisi watanzania baadhi yetu wasiokuwa na uelewa unakuta kipindi kile Dkt Magufuli anapigania uwajibikaji serikalini kuna watu wakamuona mbabe, na ushahidi vyetu feki wamelipwa, na bado wafanyakazi hewa wanaweza kurudi. Kibaya kabisa kibaya kabisa ni wewe unalalamika wakati kipindi cha JK ulimtukana mzee wa watu, na alipokuja Dkt Magufuli ulikuwa mpinzani na kwa rais Samia hutaki kuwa chawa
 
Hapana siyo jaziba Mshana Jr wewe ndiyo unajisikia jazba kwa sababu watu kama wewr ndiyo mmechangia kumharibu Rais Samia, mnamdanganya kumuambia wewe kuwa mwema kuzidi Dkt Magufuli, achana na sera za Dkt Magufuli, samehe watu kodi, usiwe mkali kwenye rasilimali, ruhusu watu wale rushwa kwa urefu wa kamba zao, hakikisha watu wanakwepa kodi kwa kukataza ma ofisa wa TRA wasiende kudai kodi etc. Kikubwa hali iliyopo sasa imechagiwa sana na chawa, yaani Rais Samia kwa ufupi hakuwa anashirikishwa kwenye maamuzi na Dkt Magufuli kiasi kwamba kaja kupewa nchi hata hajui aanzie wapi na kibaya akawaweka chawa karibu matokeo yake anapagiwa safari 24/7 ili asijue kinachoendelea na wazee wanapanga safu yao.

Mkutano wa juzi unaonesha kabisa Rais Samia HAWEZI kuwa mgombea pekee wa CCM 2025 na sababu kubwa wamemtengenezea mazingira ya chuki kwa wapiga kura na hiyo ni sababu tosha kabisa aliyoigusia Kikwete kuwa iwapo kama haki isipobadilika mpaka 2025 (hali gani hiyo wakati tayari Rais Samia anachukiwa na kila mtanzania?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…