TAIFA LEO KENYA: Magufuli Bado Mteja

TAIFA LEO KENYA: Magufuli Bado Mteja

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,211
Reaction score
41,787
Mteja? wacha nikwambie maana yake.

Ukipiga simu halafu isipatikane si unajibiwa kuwa, "mteja wa simu unayempigia hapatikani kwa sasa." Sasa huko Kenya tangu zilipoingia simu za mkononi, mtu asiyepatikana huitwa MTEJA.

Aaaah! Rais wetu mteja.

Mteja.jpg
 
Mteja? wacha nikwambie maana yake.

Ukipiga simu halafu isipatikane si unajibiwa kuwa, "mteja wa simu unayempigia hapatikani kwa sasa." Sasa huko Kenya tangu zilipoingia simu za mkononi, mtu asiyepatikana huitwa MTEJA.

Aaaah! Rais wetu mteja.View attachment 1727637
Daahh !!. Mtani hawa jamaa hawa ?!.

Hata hivyo nadhani kwa kiasi sera zetu (communists) zimepelekea usiri wetu huu. Tofauti na tulivyosikia Canada, UK , US na hata hapo jirani Kenya .
 
Kenya wivu unawasumbua, wanamtamani sana magufuli sema hawana jinsi
Nadhani tunaelewa vibaya hicho kichwa; hatujaisoma article yenyewe but by definition kwao wao mtu asiyepatikana au kuonekana kwa muda fulani wao ndio wanasema MTEJA, bado sijaona hilo tatizo kabisa kama tafsiri yao ndio iko hivyo.
 
Hata Wakenya wamemis JP na wanamtamanigi kweli, sema wakiwa humu JF wanajifanya kujikaza!
 
Njaa inWasumbua...Wakenya milion 1.4 hatarini kufa njaa
 
Nadhani tunaelewa vibaya hicho kichwa; hatujaisoma article yenyewe but by definition kwao wao mtu asiyepatikana au kuonekana kwa muda fulani wao ndio wanasema MTEJA, bado sijaona hilo tatizo kabisa kama tafsiri yao ndio iko hivyo.
Wa Tanzania tuna endesha maisha yetu kwa mihemuko reactionary sana, kwahiyo hilo sioni kama lina uongo wowote au matusi ni suala kujiuliza kwanini magazeti ya kwetu hawaandike kuhusu Raisi wetu ili wengine ndo waandike.
 
Back
Top Bottom