Taifa la Marekani limelaaniwa

kwani mussa na ibahimu walikua hawasali?? kama wewe ni mkristo wa ukweli kanisa limezaliwa lini? hapo ukinijibu utakua ushapata jibu la swali lako la kijinga.
We jamaa mimi sio Mkristo wala Muislamu. Siamini katika dini. Nimemaliza.
 
Mkuu naweza pata andiko la watz wanaomdharau ama kutokumuamini Mungu? walichofanyiwa? ili tuweze kwenda pamoja! hongera kwa huu uzi ila ninavyofaham mm,soma biblia ukiwa na uwepo wa roho mtakatifu akupe hekima ktk kuelezea ulichoelewa,tofaut na hapo ukisoma biblia bila kuwa makini unaweza ukaangamiza dunia nzima!
 
Tatizo unaendeshwa na hisia saana ila km ungekua unafuatilia vizur ungegundua ni mataifa mengi tu ysnayofanya hayo mambo....mataifa km saudi arabia iran na turkey pale middle east yamefanya hvyo na yanaendelea kufanya hvyo kupitia vikund vyao km al qaeda,hezbollah na wale waasi wa houthi..lakin sasa hv pale syria kuna kina ahrar al sharam, jaish al islam na kina al nusra waliobadili jina hapa juzi bila kusahau IS,vikund vya kisun vinafadhiliwa na gulf states plus turkey na vile vya kishia yupo iran,..marekan hajawah ingilia taifa la kiarabu kijesh bila baraka za nchi za kiarabu zenyew fatilia vizur hata syria pale ni umoja wa nchi za kiarabu wanaosisitiza assad astep down marekan ni opportunistic tu ambae hutumia udhaifu wa wengine kijana.........
 
Umejitahidi kumuelewesha....though na wewe kuna sehemu umeanza kuchanganyikiwa.....

"Mambo ya Freemason ni Taasisi kama yako hiyo ya Ukristo usioujua katu chanzo chake na utendaji wake... Huyo Yesu unayemdhania wewe si yule Mwana wa Mariam aliyeitwa Yah-Shua Mwalimu wa Dini ya Kiyahudi aliyeishi maisha yake Mengi Masomoni Misri China na kufia India Kashmir. "

( una uhakika na hili au umesoma vitabu tu, ukapata hisia kama mwenzako?)

Haya masuala ya imani..kila mtu abaki na anachoamini na anavyojua.......
 
Vyote ulivyo vitaja, biblia na ikiwemo ulicho wakilishia fikra zako humu jamii chimbuko lake ni Mmarekani. Kiufupi mpaka kujitambua kwao kumetokea uko magharibi hivyo ficha ujinga wako.
 
kwa kweli mkuu nimepata challenge so mda ukifika wakati huu taifa litakalo kua kubwa lita tenda maana maandiko ya biblia huwaga yanatimia tuu. hata Yesu alitabiriwa mstari mfali ivi wa nabii, sikumbuki but oma Yeremia au Isaya
( Isaya 7:14; 9:6 )
 
Yani unataka kusema taifa lililo laaniwa ndilo limepewa nguvu ya kuwaohiza ambao hawajalaaniwa.
Likapewa uchumi mkubwa kuliko ambao hawajalaaniwa.
 
Yani unataka kusema taifa lililo laaniwa ndilo limepewa nguvu ya kuwaohiza ambao hawajalaaniwa.
Likapewa uchumi mkubwa kuliko ambao hawajalaaniwa.
hapana mkuu sisemi hivo ila nachomanisha taifa lenye nguvu kushinda yote duniani ndio linasemwa sana na hakuna ubishi tunajua ni marekani, lakin sababu mambo yanabadilika basi tusubiri tuone yale yaliyotabiriwa kwenye Biblia, walianza Waroma hata kutisha kuitawala dunia kabisa, akaja uingereza akawa na nguvu sana ulimwenguni mwishowe vita kuu za dunia zikampoteza nd akachimbuka marekani na sasa ndio mwenye nguvu zaidi, so hayo ni mambo ya mpito tuu ila yamewekwa na kuelezewa vizuri kwenye biblia hasa ukisoma ufunuo halafu soma pia daniel na ezekiel
 
Mkuu mimi always mambo yangu huwa Sibahatishi..... Elewa kwanza..

Kitabu cha ufunuo nilishakisoma haielezi ati kuwa huo Utawala unaozungumziwa ni USA.

Wanazuoni wengi waliokisoma hicho kitabu walijaribu kufananisha na kila aina ya matukio ikiwemo Twin Tower vita ya Ghuba lakini yote hayajaendana na huo Utabili na waeza sema kila kilichoongelewa unaweza chukua matukio kadhaa yaliyokwisha wai tokea na mengine ni kama matishio lakini mwisho wa siku inakuwa ni hadithi za kusadikika tu....

Wewe ndio upo na mawazo offside
Umeanza na Ustaarabu ati Umeanzia USA? Jibu ni Ustaarabu Ulianzia Egypt karne nyingi zilizopita.
T
eknolojia unasema Imeanzia USA? Jibu si kweli Technology unayozungumzia ni Physics sana sana kuna kina Isaac Newton Alikuwa British,Galileo Muitaliano, Aristotle Mgiriki hawa ndio misingi hata albert Eistean alikuwa Myahudi na alihamia America hawakuwa jamaa tuseme hawakuifahamu hiyo nchi Marekani

Vyama vya Siasa msingi wake sio America kumbuka America ni British Colony na Percent kubwa ya American ni British and French na Spanish wachache. Hata Nyie Mnaoamini Mungu Huko Mbinguni Shetani alianzisha Chama chake cha Kumpinga Mungu... Haya Mambo ni Natural popote hutokea

Mambo ya Uchaguzi huru nadhani hata historia huifahamu... even Israel tu huko Wafalme walichaguliwa kwa Kura na hata wasipotaka wakirejea upya kura inamuangukia huyo huyo... Mkuu umefikiria au unaipenda tu Marekani?

Mapenzi ya Jinsia Moja yalikuwepo ndio maana yamebatizwa jina Sodomy

Dini Moja ilikuwepo kitambo ambayo iliitwa Uyahudi even Yesu ndio ilikuwa Dini yake baadae zikaja nyingi unazozisikia wewe na uliyopo wewe huo ukristo na uislam so ikirejea Dini Moja itakuwa ni Hatua kubwa sana

Nadhani wewe ndio upo Offside pia huna unalolifahamu Mkuu ila ukiendelea kuweka weka thread tutakurekebisha na utakuwa Free... Probably there is no God.. Be Free and Enjoy your life.

Mambo ya Freemason ni Mifumo tu Jinsi ya Kuishi Duniani... Same na Uislam una njia zake Ukristo una njia zake Ubaniani una njia zake Ubuddha una Njia zake na kila anayefuata Njia yake hujiona yu katika Usalama na Ubora...

Ukristo unataka uwe Maskini
Uislam unataka uwe Jihadi
Ufreemason unataka uwe Tajiri

Unachagua nini...
 
ulielezea vizuri ila mwishon umeongea pumba moja chafu sana. angalia hizo comment hapo juu uone waliompinga Mungu na kilichowakuta, nyie watu mna shida sana but God kwa nguvu zake atakuonyesha njia sahihi tuu maana huamini.
 
mkuu asante ila tukubaliane kutokukubaliana
kuwa Usa kwa mjib wa biblia ndiyo taifa ambalo
mataifa yote duniani ama kwa kupenda au kwa kutopenda
yanalisikiliza..

zingatia usa haina adui wa kudum wala rafiki wa kudum
wao wana policy kuwa cha kwanza masilahi ya
usa yalindwe,

hao wengine ni kwel walianza ila hawakuwa na msukumo
wa kisera, mkuu tunazungumzia hatima ya binadam

anyway sijui ni wap ukristo umesema kuwa mkristo anapaswa
awe masikin, nijuavyo Mungu ni tajiri na wanaomwabudu
nao ni matajiri, sasa huenda tukatofautiana
katika matumizi ya neno tajiri, ila mhim ni kuwa
waktisto si masikini..

think
 
mkuu nahis akipitia hapa atapata faida
 
ulielezea vizuri ila mwishon umeongea pumba moja chafu sana. angalia hizo comment hapo juu uone waliompinga Mungu na kilichowakuta, nyie watu mna shida sana but God kwa nguvu zake atakuonyesha njia sahihi tuu maana huamini.
Mkuu Unanichekesha tuwekeane List tuone nani Kaathilika Zaidi... Kati ya Wanampinga Mungu na Wasiompinga Mungu kwanza wewe unamzungumzia Mungu Yupi Maana hicho ni Cheo tu Mungu Wapo Wengi Sana... Kama Ukienda India wamejaa

Watu wanaomuamini ndio wamepatwa na Majanga makubwa hadi Aibu.... Mvi Bukoba iliondoa watu zaidi ya Mia tano
Spice Islander watu Kibao,
Tanker la Mafuta kule Mbeya lilichoma wamchao Mungu hadi wakabaki Majivu
Saudia Arabia kule Mwaka Jana tu Watu zaidi ya Mia saba walikufa kwa Kukanyagana vifo vibaya mno
London kwenye Tunnel Treni iliua watu wamchao Mungu..
Treni ya rail ya kati ilichinja chinja waumini tena wengine wakanisani pale Dodoma
Treni ya Abiria iliyokuwa inaenda Moshi ilichinja chinja watu hadi ukawa ndio mwisho wa Safari za Abiria kuelekea Moshi miaka ya Mwanzoni ya 1990.
Yesu Alikufaje? Mwamedi aliwekewa Sumu kwenye Nyama akala na akafa kubudu... Usijaribu kuweka ligi na mimi haufahamu mengi nakushauri uliza nikufunze au nikupe njia ya kuchambua... Yote uliyosikia kuhusu Dini ni ya kutungwa uliza chochote ulicho na mashaka nacho... Mataperi yanamaliza Dunia kwa kuwatishia uongo... Si Yamewaambieni mtatupwa kwenye ziwa la Moto au Mtatupwa kwenye Moto wa Jehanamu au Moto wa Kiama n.k Hamna vitu hivyoMimi Huwa Sibahatishi Maneno... Be true can make you free

Kama Mungu Yupo na Anawapenda angewaokoa Sasa kama mnaamini ni Mipango Yake basi mnamuabudu kwa njia Potofu... Ndio Maana majumbani mwenu hamumuamini mnajifungia na makomeo na vitasa mnaogopa kufa nani awaue katumwa na Nani?

Dini Zenu hazina cha kushindana na Mimi kwani mpo wrong wrong wrong... Mmepotea be free Enjoy your life
 
Nani kakuambia Marekani ndio Anasikilizwa dunia Nzima? Kumbuka Marekani ilikuwa ni Koloni la Muingereza katika baadhi ya Majimbo some of majimbo yalikuwa ni mali ya Ufaransa na Wahispania pia waholanzi

Jambo linaloamuliwa na Raisi linapitishwa na Senator wa hizo nchi jumuia ya Marekani... umoja wao una nguvu na ni Matajiri haswa ndio wanaoamua haswa Wayahudi Matajiri Sana..

Hayo Mambo ya Urafiki wa Kudumu au Kum attack adui kabla hajakua attack ni Mbinu tu za Kuendesha Nchi.. so umeelewa wao ni Maslai Kwanza....

Ndoto za Mayor Rothschild Myahudi alitaka kuitawala Dunia kwa Kila Nyanja sasa wewe ukitaka kumfahamu ndipo uhondo ulipo huko unaougopa Ndoto hizo zilishafail kitambo ila bado ipo active Wao ndio wana mifumo yote ya utajili kuiba kudhurumu kodi kupandisha thamani kushusha kukutenga ukiwa mbishi wao ni zaidi ya Mchaga kuuza Ngombe kwa kesi ya kuku... Ndio Wanashikiria IMF Central Bank(Bank Kuu) zote Duniani ikiwemo ya Tanzania, kasoro nchi Tatu Ambazo ni Iran,Sudan,Korea na Cuba hapo mwanzo ila kuna mbili tayari washazidaka...

Ukoo wa Mayor Rothschild unaendeleza Ndoto za Babu yao ile ya Kununua Nchi walishafanikiwa ambayo ni Israel. Wanaushwishi mkubwa kwa Fedha zao. Ndio wanadhamini scholarship zote za maana kwa ajili yao Duniani na ukimaliza kusoma unaenda fanya kazi kwao watakayokupangia hata uraisi.

Kuhusu Umasikini... let me tell you kuwa am Sure wewe ni Mkristo...
Unamuamini Yesu kuwa yeye ndie kila kitu na alizaliwa kwa ajili yako na wengine,
Wapo wanaoamini Yesu ndie Mungu sijui wewe pia au lah,
Sasa As per Yesu alikuwa ni Myahudi na muumini wa Dini ya Kiyahudi,
Sasa aliulizwa umekuja kutengua Torati ya Musa au Vipi?
Alijibu Sikuja kutengua Torati bali Kutimiliza,
Sasa kama unamuamini YESU hutoweza kusikiliza tena Mtu zaidi yake kwani yeye ndio Mwisho wa Mambo
Kama umeweza kukubali kauli ya Raisi ndio ya Mwisho basi huwezi pokea amri ya mwingine zaidi iwe waziri mkuu au mkuu wa mkoa, sawa?
Sasa Baada ya Yesu kuna watu wakaja kupumbaza Dunia kuwa watu wasali hivi na vile Sheria hizi na zile Sherehe hizi na zile Je Unawaamini?

Kumbuka Yesu alikuwa Mwalimu na alifundisha yale ya Torati na mengine kuyafafanua na kuyaweka vizuri,
Iweje ewe Mkristo uliyeambiwa na mtu zaidi ya Yesu ati Ule Nguluwe,Ubadilishe siku ya Kuabudu ati usifanane na Wayahudi kutoka Sabato hadi Siku ya Kwanza ya Juma Ufanye Chochezo,Ufanya kazi na mambo mengi yaliyokatazwa na watu wa Dini ya Kiyahudi ati wewe ni Mkristo kisa Yesu alisema je Ng'ombe wako akiangukia kwenye Shimo or something utamuacha? la hasha walisema sasa kama una uwezo wa kumzuia why not umuache kuna ijumaa siku ya maandalizi...

Bora Uchagua Yesu au Petro,Paulo n.k n.k Ukifuatilia vizuri kaa utulie utajiona kama unakwenda sawa au unakwenda njia potofu huku ukijiaminisha ni imani yako... Kuna Mambo mengi yamejificha ukiyajua utakuwa huru other ways chagua ubaki kizani.

Ukiwa Tajiri ipo wazi hutoweza kuingia Mbinguni as per Jesus alivyosema na ni Ngumu kweli kama Ngamia kuingia kwenye tundu la Sindano... fuatilia life ya Tajiri ndio utajua so when you become rich hutoweza bora utafute issue nyingine...
 
Huyo Aliyelilaani yupo au alikuwepo? na kalilaani kwa nani? ili iweje
 
Eti marekani imelaaniwa, isilaaniwe Tanzania yenye raslimali zote na watu wanaishi as if they are in hades ije kulaaniwa marekani ambayo 90% ya raia wake wanakula bata, mleta mada wewe hata huumizi kichwa kufikiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…