YASIYOSEMWA
Member
- Jun 1, 2026
- 68
- 149
Unajua kwanini nimecheka? Hizo pointi ndio zilitakiwa zikaelezwe huko Urussi sasa vipi ndizo alizozieleza au kaenda kuelezea point zingine?Vitu Kama Sabuni,mafuta YA kupaka na kupikia KWELI TUMESHINDWA KUWAWEZESHA VIJANA WAZALISHE NA TULINDE SOKO ILI WAUZE NDANI Kwa population tuliyonayo kweli?
Mkuu unamawazo kama yangu, jamaa fulan don wa Rockcity nikawa napiga naye story Yan kwa uwezo, wake afunguwe kiwanda hata Cha kuchakat karanga,hila mwamb anawaza kujenga fremKuna Muda unaweza kujilaumu Sana Kwa Nini?umepoteza Muda mwingi kusoma hii elimu tuliyoachiwa na mkoloni...
Kama MTU ana master's degree na Ni winga kariakooo
Au afisa ubashiri Yani mkamalia,au Ni mwanamtandao I mean
Content creator elimu Kuna Shida Mahali
Vijana ndo nguvu kazi YA TAIFA lakini vijana ambao Ni Zaidi YA 75% Ni wachuuzi na Hakuna productions then tuko proud kabisa utasikia nafata mzigo China au uturuki...
Lini tutakuwa na viwanda vyetu hata vya nguo tu ambavyo vingezalisha ajira ZA kutosha na pia thamani YA pamba ingepanda..mnyororo wa thamani ungekuwa mkubwa tungepuza Adha YA vijana kujaza mikeka YA betting kwenye wallet zao mpaka zinashuka wanaonekana hawana nidhamu TUamke kama TAIFA Sera ziwezeshe viwanda vidogodogo vya wazawa..
Vitu Kama Sabuni,mafuta YA kupaka na kupikia KWELI TUMESHINDWA KUWAWEZESHA VIJANA WAZALISHE NA TULINDE SOKO ILI WAUZE NDANI Kwa population tuliyonayo kweli?
Sio kufight nao Ni kuwa tu na uzalendo,kuacha kuingia mikataba YA kurusu TAIFA kuwa SOKO la kila bidhaa..zingine tuuziane sisi Kwa kuuziana wenyewe na kuwezeshwa kuanziasha viwanda vidogodogo hauhitaji Sabuni toka China au nguo toka uturuki...Mzee Kuna jinzi zinatengenezwa hapa zinauzwa USA kwanini hawaongezi capacity uzalishajiToo late to fight the White man
Kaka Shida Ni SeraMkuu unamawazo kama yangu, jamaa fulan don wa Rockcity nikawa napiga naye story Yan kwa uwezo, wake afunguwe kiwanda hata Cha kuchakat karanga,hila mwamb anawaza kujenga frem
Wapo watakaoenda, shida mnawachukulia vijana wa mjini tu ndo wa nchi yote.leo hii hata serikali iseme ianzishe mashamba ya kulima kwa vikundi kweli hawa gen Z unawaona wako tayari kweli waende manyara ndani vijijini pasipo na internet..wao wanapenda soft life ni wa vivu sana na sio waoga kuishi bila kazi
SIDO wanajitahidi sana kuinua wajasiriamali na viwanda vidogo vidogo, ila bado vikwazo ni vingi sana. Mamlaka ni kama hazishirikiani, kila mamlaka inafanya kazi kivyake. Hili linakwamisha sana.Vitu Kama Sabuni,mafuta YA kupaka na kupikia KWELI TUMESHINDWA KUWAWEZESHA VIJANA WAZALISHE NA TULINDE SOKO ILI WAUZE NDANI Kwa population tuliyonayo kweli?
Utamu wa ngoma ni kutoka Kwa shemeji yakoKuna Muda unaweza kujilaumu Sana Kwa Nini?umepoteza Muda mwingi kusoma hii elimu tuliyoachiwa na mkoloni...
Kama MTU ana master's degree na Ni winga kariakooo
Au afisa ubashiri Yani mkamalia,au Ni mwanamtandao I mean
Content creator elimu Kuna Shida Mahali
Vijana ndo nguvu kazi YA TAIFA lakini vijana ambao Ni Zaidi YA 75% Ni wachuuzi na Hakuna productions then tuko proud kabisa utasikia nafata mzigo China au uturuki...
Lini tutakuwa na viwanda vyetu hata vya nguo tu ambavyo vingezalisha ajira ZA kutosha na pia thamani YA pamba ingepanda..mnyororo wa thamani ungekuwa mkubwa tungepuza Adha YA vijana kujaza mikeka YA betting kwenye wallet zao mpaka suruali zinashuka wanaonekana hawana nidhamu TUamke kama TAIFA Sera ziwezeshe viwanda vidogodogo vya wazawa..
Vitu Kama Sabuni,mafuta YA kupaka na kupikia KWELI TUMESHINDWA KUWAWEZESHA VIJANA WAZALISHE NA TULINDE SOKO ILI WAUZE NDANI Kwa population tuliyonayo kweli?
Wachunguze vizuri wachuuziSIDO wanajitahidi sana kuinua wajasiriamali na viwanda vidogo vidogo, ila bado vikwazo ni vingi sana. Mamlaka ni kama hazishirikiani, kila mamlaka inafanya kazi kivyake. Hili linakwamisha sana.
Vilevile ukianza uzalishaji, WACHUUZI wanaanza kukupiga vita na kufanya Bidhaa yako sio bora kwasababu ni Made in Tanzania.
Tunapaswa kujitafakari sana kama Taifa, uchuuzi umekuwa kwa kiwango kikubwa sana, Taifa zima tumekuwa ni SOKO la wenzetu, nasisi hatuwauzii wao chochote.
Hahaha Sawa mkuu..!Utamu wa ngoma ni kutoka Kwa shemeji yako
Hahaha wenye nyama hawana meno na wenye meno hawana nyama, habari unayo"Tatizo la Afrika wenye Mamlaka hawana idea,na wenye idea hawana Mamlaka"
"Ni maneno ya PLO LUMUMBA"
NB:sina wakili