Taifa kubwa, Rais dhaifu

Taifa kubwa, Rais dhaifu

steering

Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
71
Reaction score
13
yanayoendelea Nigeria, wasichana zaidi ya 200 kutekwa, watu kuuawa, nyumba kuchomwa moto huku Nigeria ikitangazwa taifa lenye uchumi mkubwa, je Goodluck Jonathan ana uhalali kuwa rais wa taifa hilo la Africa Magharibi?

http://mobile.saharareporters.com/news-page/jonathan-leads-corrupt-government-has-little-credibility-new-york-times-editorial-nigeria’
 
Anatakiwa rais.mwislam hapo ndo mwisho wa bokoharam
 
yanayoendelea Nigeria,
wasichana zaidi ya 200 kutekwa, watu kuuawa, nyumba kuchomwa moto huku
Nigeria ikitangazwa taifa lenye uchumi mkubwa, je Goodluck Jonathan ana
uhalali kuwa rais wa taifa hilo la Africa Magharibi?

http://mobile.saharareporters.com/news-page/jonathan-leads-corrupt-government-has-little-credibility-new-york-times-editorial-nigeria’

Mkuu, hapa kuna rahisi umemlenga na sio Mh. Jonathan!

why dhaifu!?
 
Kuleta Wamarekani kuwasaka watoto waliotekwa na wahuni ni udhaifu na aibu kubwa kwa Afrika nzima. Aibu hii ilianza pale tulipokubali Makao Makuu ya AU (yetu wenyewe) tujengewe kwa msaada wa Wachina!!! Fedheha. Miaka zaidi ya 50 ya Afrika kuwa huru hatuwezi kuwapata watoto zaidi ya 200 waliotekwa? Aibu. Haya ni matokeo ya kubweteka kwa kusubiri kusaidiwa kwa kila kitu.
 
JK kai,arisha sana vikosi vya ulinzi na usalama. Hongera sana Rais wetu
 
yanayoendelea Nigeria, wasichana zaidi ya 200 kutekwa, watu kuuawa, nyumba kuchomwa moto huku Nigeria ikitangazwa taifa lenye uchumi mkubwa, je Goodluck Jonathan ana uhalali kuwa rais wa taifa hilo la Africa Magharibi?

http://mobile.saharareporters.com/n...credibility-new-york-times-editorial-nigeria’

hayo unayoyasema ni Nigeria ebu turudi hapa kwetu je tukoje angali hii.

Tujiulize mimi na wewe je waliofanya uhalifu huu wameishakamatwa?

1. Aliyemmwagia Tindikali Said Kubenea
2. Aliyemteka na kumtesa Dr. Ulimboka
3. Aliyemuua Mwangosi
4. Waliomuua kwa kumchinja Mwenyekiti wa CHADEMAkule Usariver
5. Wale vijana wa UVCCM waliowashambulia wabungewa CHADEMA kule Mwanza
6. Waliomteka na kumtesa Kibanda
7. Waliomuwekea sumu Mwakyembe
8. Waliomgonga kwa makusudi Mwakyembe kwa lengola Kumuua
9. Waliomuua yule Kada wa CHADEMA kule Igunga
10. waliolipua Bomu katika Mkutano wa CHADEMApale Soweto
11. Waliolipua Kanisani Olasit, Yule kijanawaliyemrundikia zile tuhuma sidhani kama ni mtuhumiwa halali.
12. Waliomuua Padri kule Zanzibar
13. Waliowamwagia Tindikali wale Mabinti wa UK
14. Waliowatuma akina Masogange kupeleka ileSembe Kule South Africa
15. Waliomuua yule afisa usalama pale jirani na uwanja wa ndege JKN
16. Waliolipua Bomu pale Bar Arusha

JK kai,arisha sana vikosi vya ulinzi na usalama. Hongera sana Rais wetu

Jk strong na ana kikosi cha makomando wavunja matofali

Tujiulize mimi na nyie kama JK kaimarisha vikosi vya usalama je waliofanya uhalifu huu ninaouorodhesha hapa chini wameishakamatwa?
1. Aliyemmwagia Tindikali Said Kubenea
2. Aliyemteka na kumtesa Dr. Ulimboka
3. Aliyemuua Mwangosi
4. Waliomuua kwa kumchinja Mwenyekiti wa CHADEMAkule Usariver
5. Wale vijana wa UVCCM waliowashambulia wabungewa CHADEMA kule Mwanza
6. Waliomteka na kumtesa Kibanda
7. Waliomuwekea sumu Mwakyembe
8. Waliomgonga kwa makusudi Mwakyembe kwa lengola Kumuua
9. Waliomuua yule Kada wa CHADEMA kule Igunga
10. waliolipua Bomu katika Mkutano wa CHADEMApale Soweto
11. Waliolipua Kanisani Olasit, Yule kijanawaliyemrundikia zile tuhuma sidhani kama ni mtuhumiwa halali.
12. Waliomuua Padri kule Zanzibar
13. Waliowamwagia Tindikali wale Mabinti wazungu wa UK
14. Waliowatuma akina Masogange kupeleka ileSembe Kule South Africa
15. Waliomuua yule afisa usalama pale jirani na uwanja wa ndege JKN
16. Waliolipua Bomu pale Bar Arusha
 
hayo unayoyasema ni Nigeria ebu turudi hapa kwetu je tukoje angali hii.

Tujiulize mimi na wewe je waliofanya uhalifu huu wameishakamatwa?

1. Aliyemmwagia Tindikali Said Kubenea
2. Aliyemteka na kumtesa Dr. Ulimboka
3. Aliyemuua Mwangosi
4. Waliomuua kwa kumchinja Mwenyekiti wa CHADEMAkule Usariver
5. Wale vijana wa UVCCM waliowashambulia wabungewa CHADEMA kule Mwanza
6. Waliomteka na kumtesa Kibanda
7. Waliomuwekea sumu Mwakyembe
8. Waliomgonga kwa makusudi Mwakyembe kwa lengola Kumuua
9. Waliomuua yule Kada wa CHADEMA kule Igunga
10. waliolipua Bomu katika Mkutano wa CHADEMApale Soweto
11. Waliolipua Kanisani Olasit, Yule kijanawaliyemrundikia zile tuhuma sidhani kama ni mtuhumiwa halali.
12. Waliomuua Padri kule Zanzibar
13. Waliowamwagia Tindikali wale Mabinti wa UK
14. Waliowatuma akina Masogange kupeleka ileSembe Kule South Africa
15. Waliomuua yule afisa usalama pale jirani na uwanja wa ndege JKN
16. Waliolipua Bomu pale Bar Arusha

JK ni dhaifu sana. Heri ya Jonatha kuliko JK!
 
upumbavu wa CCM, ni upumbavu wa wananchi wanaowachagua
 
Kuleta Wamarekani kuwasaka watoto waliotekwa na wahuni ni udhaifu na aibu kubwa kwa Afrika nzima. Aibu hii ilianza pale tulipokubali Makao Makuu ya AU (yetu wenyewe) tujengewe kwa msaada wa Wachina!!! Fedheha. Miaka zaidi ya 50 ya Afrika kuwa huru hatuwezi kuwapata watoto zaidi ya 200 waliotekwa? Aibu. Haya ni matokeo ya kubweteka kwa kusubiri kusaidiwa kwa kila kitu.

umesahau pale zanz alipouwawa padri kikwete aliomba msaada kutoka wapi vile ile kuchunguza na kumpata muuaji?????
 
Kuleta Wamarekani kuwasaka watoto waliotekwa na wahuni ni udhaifu na aibu kubwa kwa Afrika nzima. Aibu hii ilianza pale tulipokubali Makao Makuu ya AU (yetu wenyewe) tujengewe kwa msaada wa Wachina!!! Fedheha. Miaka zaidi ya 50 ya Afrika kuwa huru hatuwezi kuwapata watoto zaidi ya 200 waliotekwa? Aibu. Haya ni matokeo ya kubweteka kwa kusubiri kusaidiwa kwa kila kitu.

Bila kusahau FBI sijui CIA kuja kusaidia upelelezi wa mauaji Zanzibar!
 
Back
Top Bottom