Taifa hili...............

Taifa hili...............

Taifa ambalo wananchi wake wamerundikana ktk maeneo madogo mijini wakati kuna maeneo makubwa vijijini yako tupu.
 
Taifa linalokinzana na afya ya uzazi kwa kutaka wanafunzi wazae tu hata wakiwa na miaka 12,na wasibugudhiwe.
 
Taifa ambalo walimu ni ombaomba na choka mbaya!
 
Back
Top Bottom