Nyie andikeni kwa kujifurahisha na kupoteza muda wenu. Kama livyosema muungwana mmoja kwamba wengi wao wanaosemasema hapa wapo nje na wala hawatarajiii kurudi, wanaandika tu kuwapoteza watanzania wanaojali amani waliopo hapa nchini. Na hata kama wangekuwa hapa, ni ushujaa wa kuandika tu, hakuna hata mmoja atakayekuwa wa kwanza kwenda Mnazi mmoja ili kichapo cha kwanza aonje yeye.
Msijifananishe kabisa na waarabu, wale ni watu wa JIHAD, Kati yenu mnaoandika andika hapa, nani atakuwa wa kwanza kwenda kuchezea kichapo cha JWTZ? Na ni kichapo kweli kweli cha kufa mtu. MSITUPOTEZEE MUDA HAPA, NENDENI KWANZA NYIE NA FAMILIA ZENU HALAFU SISI TUTAWAUNGA MKISHACHEZEA KICHAPO CHA KUTOSHA.