makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,219
Ndugu wana JF na Watanzania wenzangu,
Ninaguswa sana na matatizo yanayotukumbuka kwenye nchi yetu,matatizo ambayo ukiyachunguza kwa undani ni kwamba yanasababiswa na mfumo MBOVU WA UTAWALA WA SERIKALI YA CCM(Chama cha Majambazi au Mafisadi).
Mpaka sasa hivi kuna matukio ambayo yanatugusa Watanzania moja kwa moja na inabidi tuchukue hatua ili kuwashinikiza CCM waondoke madarakani. Matukio hayo ni:
Hakuna mtanzania ambaye haguswi na matatizo haya. Kwa hiyo mimi nashauri kuwa Watanzania tujipange kuandaa MAANDAMANO YA NCHI NZIMA(PEOPLES POWER)KUSHINIKIZA SERIKALI YA CCM IONDOKE MADARAKANI BAADA YA KUONGOZA KWA MIAKA 50! Wenzetu TUNISIA,MISRI wameweza kuwaondoa viongozi wao waliokaa madarakani miaka kedekede na sasa NUVU YA UMMA IMEHAMIA LIBYA, na YEMENI na mapambano bado yanaendelea.
- Mgawo wa umeme unaosababishwa na uzembe wa Serikali.
- Kushuka kwa kiwango cha Elimu ya Sekondari ambapo 50% ya vijana wamepata Daraja sifuri(0).
- Milipuko ya Mabomu ya G.Mboto yaliyosababishwa na uzembe wa JWTZ.
- Kupanda kwa gharama za maisha kunakotokana na kushuka kwa thamani ya Tshs.
Napendekeza TAHRIR SQUARE YETU IWE VIWANJA VYA JANGWANI.
Yaani umeonyesha uwezo mdogo sana wa kufikiri, fanya utafiti wakina wa sababu za misri na hizo ulizo andika hapo. Nenda peke yako na familia yako
Kiwanja kizuri ni Mnazi Mmoja, ujue hiyo ni sawa na vita haifai kuchagua sehemu utakayozingirwa kiurahisi.Napendekeza TAHRIR SQUARE YETU IWE VIWANJA VYA JANGWANI.
Hivi wewe unasauti kumzidi mtoto wa Mubarak Gamal Mubarak alivyokuwa akibeza wewe ni kapuku tu siku ikifika utaucheza mziki.Yaani umeonyesha uwezo mdogo sana wa kufikiri, fanya utafiti wakina wa sababu za misri na hizo ulizo andika hapo. Nenda peke yako na familia yako
Genius Bomu,
Sijasema kuwa lazima sababu/matatizo yaliyosababisha Watunisia na Wamisri kuziondoa serikali madarakani ni lazima ziwe replica ya sababu/matatizo yetu. Lakini angalao zinashabihiana kwa namna moja ama nyingine.Ben Ali wa Tunisia amekaa madarakani miaka 23 na Hosni Mubarak miaka 30. CCM wamekaa madarakani tangu Uhuru leo ni 50 years. Sasa kati ya Watanzania na Tunisia na Misri nani ambao UTAWALA wao umekaa sana madarakani na unatakiwa uondolewe?
Sababu zilizosababisha Wamisri wakaingia mitaani kwa kutumia nguvu ya Umma kulingana na taarifa ya vyombo vya habari wanasema: Mainly for financial reasons. That many Egyptians are complaining of poor living conditions, economic stagnation and widespread unemployment. But there is also anger at political repression, suspected rigging in recent elections and at possible plans by Hosni Mubarak to have his son Gamal succeed him later this year
Hizo sababu za Wamisri kwa sehemu kubwa hazina tofauti sana na MATATIZO YETU TULIYONAYO hapa Tanzania. Mimi nimejaribu tu kuainisha matukio ya sasa hivi ambayo yanaendelea na yanayoweza kuchochea NGUVU YA UMMA kuingia mitaani kupinga utawala wa CCM.
Tunisia aliyesababisha alikuwa kijana Graduate wa Chuo kikuu ambaye hakuwa na ajira akawa anauza mchicha,polisi wakamvamia wakapinduapindua meza yake na kumtimua ndipo alipoamua kujiua kitu ambacho kilichochea mwanzo wa PEOPLES POWER!
Ina maana na wewe unataka mtu ajilipue afe ndiyo uanzisha PEOPLES POWER???
Kiwanja kizuri ni Mnazi Mmoja, ujue hiyo ni sawa na vita haifai kuchagua sehemu utakayozingirwa kiurahisi.
biafra kinondoni......unakumbuka vita ya biafra---nigeria?napendekeza tahrir square yetu iwe viwanja vya jangwani.
Ndugu wana JF na Watanzania wenzangu,
Ninaguswa sana na matatizo yanayotukumbuka kwenye nchi yetu,matatizo ambayo ukiyachunguza kwa undani ni kwamba yanasababiswa na mfumo MBOVU WA UTAWALA WA SERIKALI YA CCM(Chama cha Majambazi au Mafisadi).
Mpaka sasa hivi kuna matukio ambayo yanatugusa Watanzania moja kwa moja na inabidi tuchukue hatua ili kuwashinikiza CCM waondoke madarakani. Matukio hayo ni:
Hakuna mtanzania ambaye haguswi na matatizo haya. Kwa hiyo mimi nashauri kuwa Watanzania tujipange kuandaa MAANDAMANO YA NCHI NZIMA(PEOPLES POWER)KUSHINIKIZA SERIKALI YA CCM IONDOKE MADARAKANI BAADA YA KUONGOZA KWA MIAKA 50! Wenzetu TUNISIA,MISRI wameweza kuwaondoa viongozi wao waliokaa madarakani miaka kedekede na sasa NUVU YA UMMA IMEHAMIA LIBYA, na YEMENI na mapambano bado yanaendelea.
- Mgawo wa umeme unaosababishwa na uzembe wa Serikali.
- Kushuka kwa kiwango cha Elimu ya Sekondari ambapo 50% ya vijana wamepata Daraja sifuri(0).
- Milipuko ya Mabomu ya G.Mboto yaliyosababishwa na uzembe wa JWTZ.
- Kupanda kwa gharama za maisha kunakotokana na kushuka kwa thamani ya Tshs.
Napendekeza TAHRIR SQUARE YETU IWE VIWANJA VYA JANGWANI.
Acha kuturudisha nyuma wewe fisadi mkubwa mnaofaidika na utawala dharimu!go to hell!!Yaani umeonyesha uwezo mdogo sana wa kufikiri, fanya utafiti wakina wa sababu za misri na hizo ulizo andika hapo. Nenda peke yako na familia yako
Kiwanja kizuri ni Mnazi Mmoja, ujue hiyo ni sawa na vita haifai kuchagua sehemu utakayozingirwa kiurahisi.
Hiyo ndiyo changamoto kubwa tuliyonayo!!Nani wa kuyaanzisha, kuyasimamia na kuyaendeleza haya?
Yaani umeonyesha uwezo mdogo sana wa kufikiri, fanya utafiti wakina wa sababu za misri na hizo ulizo andika hapo. Nenda peke yako na familia yako
Acha kuturudisha nyuma wewe fisadi mkubwa mnaofaidika na utawala dharimu!go to hell!!