Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,846
- 141,232
Mwezi mchanga huyu. Muelewe tuLeo naona umefanya memory restore to default, wewe jamaa unabidi uwe mstari wa mbele kwenye maandamano maana unaonekana kabisa ukipigwa risasi na wale waliosomea kuua raia ndani ya nchi yao haufi
Hakuna u turn hapo.Hii U-turn yako hii! Kwa kumbukumbu zilizopo ulisema Watanzania wana 'matumaini hewa'!!!
Kwani itakuwa tofauti gani na watu wanavyosema hiyo 29th October itavyokia, hakuna tofauti. Hii ndiyo itakavyokuaThis is the best tried and true method of kicking out oppressive regimes ‘peacefully’.
Kwa wale ambao bado mlikuwa mnavaa nepi na kunyonya pacifiers, nawaletea kwenu maandamano ya Tahrir Square ambayo yaliweza kumng’oa madarakani Hosni Mubarak.
View: https://youtu.be/paLKwOY_6hc?si=oiFgIawp1C1Uuy80
Hakukuwa na jeshi, polisi, wala watu wasiojulikana walioweza kushindana na hiyo nguvu ya umma.
Kumbukeni kuwa, jeshi la Misri ni jeshi kubwa na lenye ubora mara mia zaidi ya hao mgambo na sungusungu wa JWTZ.
Lakini halikufua dafu mbele ya nguvu ya umma.
Hilo hata hapa Tanzania linawezekana kabisa.
Siku tutapoacha uoga na kuamua kuingia mtaani hao Waarabu wa Misri, CCM na kundi lake la wahuni kwisha habari yao.
Imagine kuna sustained mass protests nchi nzima na mamilioni ya Watanzania wanajitokeza na kudai katiba mpya na kuwatimua CCM madarakani, nani atazuia?
Hata JWTZ nao watawaunga mkono wananchi kama vile ambavyo jeshi la Misri lilivyowaunga mkono raia dhidi ya Hosni Mubarak.
This kind of mass protest is unstoppable.
View: https://youtu.be/SmciaHm516I?si=yYktf_tcpgnzpsNx
*** you.Mjinga wewe baada ya wadau kukuponda kwa ule ujinga wako umeamua kuja na huu uzi kutuzuga umeshapoteza credibility
Hahaha imebidi nicheke tu sio pekeyake nimeshangaa na wengine wamebadirisha giaMjinga wewe baada ya wadau kukuponda kwa ule ujinga wako umeamua kuja na huu uzi kutuzuga umeshapoteza credibility
Ulimtukana mimi kule ukasemaje wewe dogo?*** you.
Don’t need your validation.
Kwa hiyo, unawafurahia ( enjoy) Watanzania na habari za Egypt?in here forever now
Nimemwelewa dogo chekechea yake ni shida sana kuna mwamba akaniambia ukimponyoka kingereza huyo mtupu zaidi ya muokota makopoMwezi mchanga huyu. Muelewe tu
Mkuu unamtukana rais wa China President Xi Jinping ?*** you.
Don’t need your validation.
Hahaha imebidi nicheke tu sio pekeyake nimeshangaa na wengine wamebadirisha gia
Jeshi la Misri halikumpindua Mubarak.siyo kweli kwamba jeshi la misri halikihusika na kuondolewa kwa mubarak, jeshi halikumtii mubarak tena na his time was up, kwanza unaweza kusema kama bila ya jeshi kuingilia mapinduzi yangezimwa plus usa wanted him gone walishamchoka na jeshi la misri ni kama liko chini ya usa kwa maana ya funding, hakuna nchi inayopata financial aid kubwa ktk usa kama misri ukiondoa israel …
He can SMD on top of it.Mkuu unamtukana rais wa China President Xi Jinping ?
Sasa kwanini mwanzo ulikua unapinga kule nini kimekutokea?Jeshi la Misri halikumpindua Mubarak.
Jeshi lilikataa kutii amri haramu dhidi ya raia wa Misri.
Same thing can happen here.
October 29 ni kususia uchaguzi tu.Kwani itakuwa tofauti gani na watu wanavyosema hiyo 29th October itavyokia, hakuna tofauti. Hii ndiyo itakavyokua