TAHLISO waionya Chadema

Wewe ni CCM muajiriwa wa CCM kupost ujinga ni kazi ya vijana wa CCM kama hao vijana wa CCM wanaojiita TAHLISO, jibu hoja lini waajiri wako walikubali ushauri wa kuimarisha demokrasia au kwa kumfilisi na kumfungulia kesi Mbowe?
Kila anayewakosoa nyinyi mnahisi nimwana CCM, hivi unafaham hao WANACHAMA ulionao nao nimwanachama wa CCM? Acha ubaguzi watanzania nihawa hawaa
 
yaan hawa vijana ndo waionye chadema na hayo mamlaka yametoka wap, kuna mda UDSM miaka ya 2010 kurud nyuma ulikiwa ukionekana mwana ccm hupewi uongoz sasa hawa vjana yaan hawajielew
 
Nimesoma nusu nikagundua kuwa kijana mpumbavu wa TAHLISO ameamua kutumika.

Waacheni wanasiasa watimize wajibu wao. Je TAHLISO ipo kwa msajili wa vyama vya siasa?
 
lakini ikumbukwe kwamba watu hawa waliitwa kutoa maoni yao wakakataa, sasa wanataka hata yale yaliyotolewa na watanzania wengine kwa uhuru na haki watu wayapinge ”alisema Nkinda [emoji16][emoji38] Retired Tindo
Ni mtanzania gani aliyetoa maoni? We ulishiriki?
 
Mtama, Lindi
Tanzania

CHADEMA KANDA YA KUSINI

John Heche - Mabadiliko huwa yanaletwa na raia masikini wengi wanaoongozwa na vijana wazalendo

 
Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) wamekionya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kutokana na tabia yake ya kupinga mambo mbalimbali yanayofanywa na Serikali hata kama yana manufaa kwa wananchi na Taifa kwa jumla.
Watakuwa Tawi la chapa ya jogoo Magomeni Usalama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…