TAHLISO waionya Chadema

Shida yenu chadema naludia Tena, mnataka kusikiliza kile mkipendacho. Kwa Nini hamheshim mawazo ya mtu mwingine? Raisi kasema hivyoo, kwani ndio mwisho wa harakati?? Jengeni hoja za msingi, sio kudandia dandia matamko yawatu wengine. Heshimni mawazo ya mwingine ndio demokrasia mnayoihubirii Kila siku
 
..kuna upande usiopenda kusikia hoja za Chadema, na unapinga kila wanalopendekeza.

..mimi napendekeza mawazo ya kila upande yasikilizwe na zifanyike juhudi za dhati kuyatekeleza.

Kwani tumeyakataa mawazo yenu? Mbona mnajihami wakati ngoma bado mbichi hii!!!. Chadema sisi tunapokea hata huu uozo wa tahilso ili mradi ujinga huo hatutoufanyia kazi.
 
..kuna upande usiopenda kusikia hoja za Chadema, na unapinga kila wanalopendekeza.

..mimi napendekeza mawazo ya kila upande yasikilizwe na zifanyike juhudi za dhati kuyatekeleza.

Sio Kila pendekezo ulipendalo wewe lazima lipite jamaaa. Lazima lijadiliwe Kwa mapana na Kisha lichunguzwe zaidii. Acheni kulazimisha mawazo yenu huo ni ubishi
 
Chadema si walikataa kushirikiana na hicho kikosi kazi basi walitakiwa kukaa pembeni waawachie vyama waliokubaliana na kikosi kazi sio wajitokeze na kuanza kutoa mapovu Yao na matamko kama ya waimba taarabu

Yaani hicho wanachokifanya CDM ni kumkataa shetani na mambo yake yote. Mbona watu wanamkataa shetani na mambo yake yote, na hawakai kimya bali bado wanaendelea kumkemea?
 
Sisi kukusoa ni wajibu wetu, na hatuna muda wa kuendekeza wanaosifia kila kitu.
Si ndio uhuru wa mawazo? Mko sahihi kukosoa, lakini kubalini na nyiee mnapotakiwa kukosolewaaa. Hiyo ndio demokrasia mnayoihubirii Kila siku.
 
Si ndio uhuru wa mawazo? Mko sahihi kukosoa, lakini kubalini na nyiee mnapotakiwa kukosolewaaa. Hiyo ndio demokrasia mnayoihubirii Kila siku.

Ni nani kagomea wewe au nyinyi kukosoa, lakini wakati mnaambiwa muache kujikomba inabidi mkubali pia. Au unataka mkitoa matamko uchwara watu wakalie kimya huo unafiki wenu?
 
Wasomi wetu hao, ambao baadaye wanadai wameokotwa jalalani na kuja kukana thesis zao.
 
Ametoa maoni mazuri sana msomi huyu, lkn huyu bwana anasoma chuo Gani ambacho haitimu masomo yake maana ni kitambo madarakani yumo heeee
 
Mbona wewe na wenzio pia mnapinga Uhuru wa Chadema kutoa maoni?
Au mkuki kwa nguruwe?!
 
Sio Kila pendekezo ulipendalo wewe lazima lipite jamaaa. Lazima lijadiliwe Kwa mapana na Kisha lichunguzwe zaidii. Acheni kulazimisha mawazo yenu huo ni ubishi

..kuwa msikivu kwanza.

..Chadema wanatetea hoja zilizowasilishwa na Tume ya Warioba ambaye ni mwana-Ccm.

..Sasa wewe na wana-Ccm wenzako mngetueleza kwanini mnaipinga Tume ya Warioba ambaye ni mwana-Ccm mwenzenu.
 
Ni nani kagomea wewe au nyinyi kukosoa, lakini wakati mnaambiwa muache kujikomba inabidi mkubali pia. Au unataka mkitoa matamko uchwara watu wakalie kimya huo unafiki wenu?
Lakini umekubali maoni ya hao TAHILSO?? au na wewe hutaki kukosolewa kama hai uliowataja
 
Wasomi njaa hawa. Ni watoto, tuwasamehe. Ni wale wa kukariri past papers, bado hawajaelimika. Wengi wao wakija huku kwenye industry huwa hawana tofauti na ambao hawakwenda shule, kiutendaji. Mdiyo maana wengi hawaajiriki.

Sasa kama hawa ambao hawawezi hata kuelewa mantiki ya hoja ya Mnyika, wana elimu gani? Hoja ipo wazi, ile kamati ya Mkandala, kiuhalisia ni kama kamati ya arusi, haina nguvu yoyote ya kisheria.

Kamati iliyokuwa na nguvu za kisheria ni ile ya Warioba tu. Hizi nyingine, kwa kweli zinategemea zaidi hisani ya aliyeziunda, lakini hakuna anayeweza kuhoji, kwa nini maoni ya kamati yametiwa jalalani.
 
Mbona wewe na wenzio pia mnapinga Uhuru wa Chadema kutoa maoni?
Au mkuki kwa nguruwe?!
Kwahiyo na nyiee mumekubali kuridhi madhaifu yetu? Sasa ni lini mtatofautiana na sisi ilijamiii iwaone umakini wenu?? Kubalini mlivyokosolewa na TAHILSO hiyo ndio demokrasia, msilithi udhaifu wa mtu nyinyi jipambanueni Kwa kukubali kupokea na kujitafakari pale mnapo ambiwa madhaifu yenu na mwingine. Tena mheshim mawazo ya mtu huyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…