TAHLISO waionya Chadema

Mbona wakati Ndugai anafurumushwa hukutoa huu ushauri kwa mwenyekiti wa CCM apokee maoni kinzani ya Spika ndugai.?
Kwahiyo na nyiee mumekubali kutembelea hayo madhaifu ya CCM?? Lini watanzania wataona utofauti kati yenu na CCM? Au mumekubali kuwa kama CCM??
 
Kwahiyo na nyiee wapigania demokrasia tunaowamini mnatembelea nyao za CCM?? Lini tutaona utofauti wenu na CCM??
..iko hivi.

..Kikosi kazi kimewasilisha mapendekezo kwa Raisi.

..Je, unaridhika na mapendekezo ya kikosi kazi? Sababu zako ni zipi?

..Je, haujaridhika na mapendekezo ya kikosi kazi? Hoja zako ni zipi?

..Tujielekeze kwenye mapendekezo ya kikosi kazi.

..Vyama na taasisi mbalimbali vipime na kuyachambua mapendekezo hayo badala ya kushambuliana.

..Wajumbe wa Kikosi kazi wajitokeze kutoa ufafanuzi na kuyatetea mapendekezo waliyoyatoa.
 
Nakubaliana na wewe ila nilitaka kujua TAHLSO ni kinanani na CHADEMA ni kina nani? je hao TAHLSO ulishawahi kusikia wakihoji juu ya nani hasa walimshambulia TUNDU LISU? au tuseme wakati ule hawakuwepo?
kwamba kwenye vyuo vikuu kuna degree inaitwa political science kisha anatokea mpuuzi mmoja anakataza wanafunzi kujihusisha na siasa.... TAHLSO walikuwepo uliskia wakimkosaa kiongozi yule?
sasa tutawaamini vipi?
 
Educated fools
Hakuna uteuzi siku za karibuni
 
Huyu kilaza ana gpa ya ngapi kwanza?
 
Kwani nyiee chadema mnaposema uhuru wa kutoa mawazo Kwa Kila mtu au kikundi, mnamanisha mtu kusema Kila ambacho na nyiee mnakipendaa?? Kama hawajazungumzia juuu ya shambulio la lisu, wewe kusema. Uhuru wa maoni siomtu kumpangia aseme kitu unachokipenda wewe, hawajasema kuhusu shambulio la lisu Leo, maaana yake Hilo halipoo mioyoni mwao, kikubwa kubalini Kwa hili walilolisema juu ya chadema. Kama mnataka Kila mtu aseme mnachotaka nyinyi basi hapo hakuna uhuru wa mawazo ya mtu au kikundi kama chadema mnavyodai. Kubalini mawazo kinzani na nyiee ILI na nyiee mawazo yenu yaonekane kuwa mko sahihi kukosoa wenzenu. Kumbukeni chadema sio malaika wa mbinguni.
 

Ni wapi CDM wamekuzuia kukosoa, au umekariri ukisikia CDM hawataki kukosolewa na ww unarukia hilo neno ili uende na fashion?
 
Kama hamjaridhika na jicho kikosi kazii, endeleeni kupaza sauti, ila mkumbuke kwamba, sio lazima mawazo yenu ndio yasikolizwe tuu, sikilizeni na mawazo ya wenzenu. Hamjaridhika wekeni mjadala Mpana, ilakumbukeni sio lazima napendekeza yenu yakubaliwe kwani na nyiee sio Malaika wa mbinguni, kubalini na mawazo mbadala. Na kama hamuamini mawazo na kile wakionacho wenzenu, hiyo sio demokrasia Bali itakua ubishi na kelele tuu.
 
Ni wapi CDM wamekuzuia kukosoa, au umekariri ukisikia CDM hawataki kukosolewa na ww unarukia hilo neno ili uende na fashion?
Mbona mnawafokea TAHILSO? Wamekanya na kuwataka msiwe mnakosoa Kila kitu. Sasa naona imewauma saana
 
Ni wapi CDM wamekuzuia kukosoa, au umekariri ukisikia CDM hawataki kukosolewa na ww unarukia hilo neno ili uende na fashion?
Chadema si walikataa kushirikiana na hicho kikosi kazi basi walitakiwa kukaa pembeni waawachie vyama waliokubaliana na kikosi kazi sio wajitokeze na kuanza kutoa mapovu Yao na matamko kama ya waimba taarabu
 

..kauli njema zaidi ingekuwa ni mawazo ya kila upande yatasikilizwa.

..kwamba juhudi zitafanyika kuzingatia mawazo, mapendekezo, na mitizamo, ya makundi mbalimbali.

..Watz tunapaswa kujifunza kusikilizana na kutafuta maelewano.

..Raisi Ssh amenukuliwa akisema kuwa mapendekezo ya kikosi kazi sio amri kwa serikali yake.

..Kwa maoni yangu Rais hakupaswa kutoa kauli ile kwasababu yeye ndiye aliyeunda na kukipa hadidu za rejea kikosi kazi.

..Kwa hiyo utaona hata Rais Ssh sio msikivu na sio mkomavu ktk masuala ya siasa na demokrasia.
 
Siku hizi wasomi ni weupe sana tofauti na enzi zetu! Natilia sana shaka elimu wanayopewa vijana wetu siku hizi huku vyuoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…