Dah!hapo navyokijua Mimi hiko chuo na uongozi wake ni madikteta sana mwisho kunawatakao fukuzwa na kunawatakao simamishwa maana mm nimepita hapo nikiwa mmoja wawanafunzi waanzilishi
Unaikumbuka Iringa Club?:becky:Dah!hapo navyokijua Mimi hiko chuo na uongozi wake ni madikteta sana mwisho kunawatakao fukuzwa na kunawatakao simamishwa maana mm nimepita hapo nikiwa mmoja wawanafunzi waanzilishi
Huyu jamaa anaonekana ni kauzu lakiniUnamjua chonya?
Unaikumbuka Iringa Club?:becky:
karibu na geitini?
Teh teh aaah... watoto wa mbwaKuna jamaa walikua wanajiita watoto wa mbwa walikua wanishinda hapo tangu asubuhi pia kwa dada Aggy.
Mkuu hebu nikumbushe....Kuna jamaa walikua wanajiita watoto wa mbwa walikua wanishinda hapo tangu asubuhi pia kwa dada Aggy.
Teh teh aaah... watoto wa mbwa
Na kibwagizo(mbwa kala mbwa..haya weee haya weee)
Basi hata kwa mama Siyovelwa
kwenye yule Mbuzi mshenzi
utakuwa unapafahamu.
Mkuu hebu nikumbushe....
Da Aggy ndio kile kiosk cha design Mhaya?
Dah! bongo land hiyo,tumekuwa nchi ya migomo,lkn hakuna namna siku zote haki inadaiwa wala haiombwi.Hali ya taharuki imetanda muda huu katika chuo kikuu cha ruaha hapa iringa ambapo wanachuo wote wamesitisha masomo na kuungana kudai madai yao ya msingi ikiwa ni pamoja na pesa zao za boom na pia kutaka kurudishiwa sh 20,000 kwa kila mwanachuo iliyokatwa kwa madai kwamba inaenda TCU.
Kugoma ni haki yake ili kufikisha ujumbe kwa wahusika
Ila sio kwa warumi.
Kuna jamaa walikua wanajiita watoto wa mbwa walikua wanishinda hapo tangu asubuhi pia kwa dada Aggy.
Yes yes, niliambiwa kibanda kiliteketea kwa moto.
MgonjwaUkimwi,
Hapa ndugu yangu umenizidi kete! Looh sijawahi sikia hii (signature):- Mwendawazimu ni binadamu mwenye Uhuru bila Nidhamu, na Mtumwa ni binadamu mwenye Nidhamu bila Uhuru. Nimesoma mara mbili mbili nakila mara hujikuta nacheka mwenyewe maanake kweli imetanda kwa kila sura ya shilingi hii... inauma tu pale utakapo jaribu kufanya mahesabu kupata hitimisho yaani Mtumwa ni sawa kabisa na mwendawazimu, japokuwa wametofautiana chanzo....Wee