Taharuki Bagamoyo Road

Taharuki Bagamoyo Road

Hahahah kweli naona unaogopa basi hebu twambie hivyo ving'ora ni vya gari gani :

Zimamoto
Ambulance
Police
Gari la pesa

Au baada ya kusikia ving'ora ukapost bila kujua ni ving'ora vya gari zipi kati ya hizo!

Loh! Ila pole sana sio kosa lako kuogopa (ukiona mtu anaogopa hata tukio la hivi ujue hawezi kuwa na confidence)
 
Ni ving'ora, magari yanakimbia, magari ya deraya yanapita kasi yakipiga kengele na kelele. Hali inatisha, tuko kwenye taharuki kubwa wakazi wa Mwenge
kuna vita nini? haya maonyesho sijui yataisha lini. labda ikishapita Oktoba Mosi, wataacha mbwembwe zao.
 
Ninakosa usingizi Kabisa ! Ninataka kujua hatima ya hayo Magari kwamba kuna tukio gani Bagamoyo hata Magari mengi ya polisi yaelekee huko?
 
Back
Top Bottom