Tahadhari..!

Tahadhari..!

hii kitu kuna watu inawafany wanakuw high huku akili zao zinakuw active sana, ila wengine wanakuw maboya sana

Mbaya upate demu mtumiaji halafu stimu zote zikimbilie bondeni maji utaita mma! Na hata kama hajui kunyongorota ile centa bolt siku hiyo itakuwa kama imefungwa mota
 
Labda ndugu yangu.Kuna watu wana majina balaa nilishawahi ona familia kuna mtu anaitwa mende mwingine chawa na kunguni

...watu wa Ruvuma huko ndio wana majina ya wanyama
 
Back
Top Bottom