Boloyoung
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 682
- 652
Kuanzia sasa mtu akikuomba umtumie pesa kwenye number fulani atakama namba unaijua usikubali mpaka umpigie uhakikishe ni yeye kweli.
Kuna mchezo umeingia wa kublock namba yako kwa muda (spoofing) kisha wanaitumia kuomba watu pesa kwa ndugu au jamaa zako wa karibu.
Kuna mtu ameibiwa milioni moja akijua anamtumia mkewe.
Na wanaofanya mchezo huu ni wezi wanaoshirikiana kikamilifu na baadhi ya wafanyakazi wa makampuni ya simu.
Sent from my Magnus bravoZ10 using JamiiForums mobile app