Tahadhari ya Upepo mkali na mawimbi makubwa baharini

Tahadhari ya Upepo mkali na mawimbi makubwa baharini

kwanini leo pia naona planes na airjets flying ???
 
Sina imani na idara ya utabiri wa hali ya hewa Tanzania.
 
Pepo za kusi zimeanza au monsoon climate ndio hizo, ni baada ya masika kwisha!
 
Mamlaka ya hali ya hewa tz imetoa tahadhari ya kutokea upepo mkali unaofikia kilometa 40 kwa saa.

Pia kutakuwa na mawimbi makubwa yanayofikia meta 2.0 kwenye maeneo yote ya bahari ya hindi hususani LINDI na MTWARA, pia maeneo ya UNGUJA na PEMBA.

Source: EATV News.
 
Ni kweli niko huku mjini kuna mvua inayoambatana na upepo mkali sana.
 
Back
Top Bottom