Tahadhari ya Taharuki Tanganyika

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
Kwakuwa la ndugu zetu Wamasai tulishalisema sana lakini tukapuuzwa na kukejeliwa sana.. Ngoja sasa tuliache litutumke! Likifika pa kupasuka..TUSITAFUTANE!

Tahadhari ya taharuki kuu iliyopo mbele yetu ni ya mafuta.. Ukweli useme hali ni mbaya na tunakoelekea inaweza kuwa mbaya zaidi na zaidi

Pengine linaweza kuvumilika kwa muda kikomo, lakini sasa kuna baadhi ya maeneo nchini Tanganyika kwa sasa
Hakuna dola
Hakuna umeme
Hakuna maji
Hakuna mafuta

Hiyo dola kwakuwa wengi hawana ufahamu nayo kukosekana kwake tunaweza kuiweka kando.. Lakini vipi hayo mengine matatu?

Kwenye biashara hakuna umeme
Barabarani hakuna mafuta
Nyumbani hakuna maji, hakuna umeme.. Uchumi wetu unapigwa kelebu tatu bila!

Tunakoelekea ni kwenye state emergency.. Lakini viongozi wako busy na mengine yasiyo muhimu
Wengine wako kimya
Wanaotoa matamko wanachanganyana
Huwezi kuamini mpaka sasa hakuna aliyejiuzulu kuonesha uwajibikaji!

Katikati ya mtanziko mkubwa kama huu, jeshi letu tukufu linatoa kauli kuingia mitaani na majumbani kusaka nguo za mitumba kafaulaya zinazofanana fanana na za kwao! Hiki ndio kipaumbele jeshi letu la ulinzi kwa sasa[emoji848][emoji24]..... Ambalo mmoja wa viongozi wake aliongopa wazi ni la sita kwa ubora duniani[emoji1544][emoji1550][emoji23]
 
Nachojua jeshi letu ni la sita kwa ubora na shughuli yake mnaiona[emoji1787][emoji1787]

Mengn kwa Tanzania hayashtui sana
Wakuda kuna list wametoa wamesema halimo hata kwenye 20 bora[emoji1544] hawa hawana uzalendo inabidi wasakwe washitakiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisema yapo yanayokuja na hakika bado yapo.

Tunapaswa kutubu kama Taifa. Tunapaswa kuanza upya
 
KKu
 

Si tulikubaliana mama ana upga mwingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…