Weka picha tuone:
Hapa kwetu Kigogo saa hii watu wako juu ya mapaa ya nyumba zao. hali ni mbaya sana maeneo ya Moscowhata morogoro inanyesha saa hii
Hawa jamaa hatari sana,Kwanini walishindwa kuforecast mapema badala ya kubashiri siku yenyewe ya tukio?