Tahadhari ya mvua

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Mamlaka ya Hali ya Hewa imetoa tahadhari asubuhi ya leo kuwepo kwa mvua kubwa ukanda wote wa Pwani kwa siku mbili kwa saa 24 kuanzia leo.
 
Ha ha ha TMA wanatoa tahadhari siku hiyo hiyo lol kweli majanga ingefaa wangetoa taarifa wiki moja kabla hii inanikumbusha katuni flani ilikuwa inaonyesha TMA wanatoa taarifa kutakuwa na mvua wakati hapo hapo jangwani watu wapo kwenye mapaa.
 
Hawa jamaa hatari sana,Kwanini walishindwa kuforecast mapema badala ya kubashiri siku yenyewe ya tukio?
 
Hawa jamaa hatari sana,Kwanini walishindwa kuforecast mapema badala ya kubashiri siku yenyewe ya tukio?

kwanini wakuambie jana au juzi. kwani wanawajibika kwako. nchi hii anaefanya kazi ni nani serikalini ¿ the country is going to dogs
 
Back
Top Bottom