Tahadhari ya Mvua kwa mikoa ya Pwani

Tahadhari ya Mvua kwa mikoa ya Pwani

juve2012 ushajinunulia buti za mvua kabisa!

Ndugu yangu,nimenunua ila kikubwa nimeshaongea na daktari wangu aniandalie ugonjwa wa kumwambia bosi wangu ili nikwepe field works,kasema ananiandalia pneumonia,teh teh,oups!nimekumbuka,ngoja nimwambie abadilishe,waswahili wasianze maneno maneno!
 
Last edited by a moderator:
kwa wale wote waishio mabonden kuwen makin na hii mvua,serikali imetamka kupitia vyombo vya habari
 
bora ije nijaze maji nna tank 20000 za maji.....mvua njoo tkinge maji ila epusha balaa
 
kwan dsm ina mashamba?
ushauri wa bure kwa wakaz wa dar.
kateni sana miti na mvua itapotea.
kateni miti kwan iliyopo inaonekana imezidi
 
Sasa hivi inabidi kununa boti tutengeneze boti kwa Sam and anza bolt builders kunduchi ili kujinusuru na mafuriko pamoja na lifejacket
 
Ni maeneo ya Buyuni-Chanika,
Wamesombwa na maji ya mvua.
Hali ni mbaya,

sijui jinsi ya ku-upload picha wa dau mtanisamehe!
 
serikali kupitia kitengo cha maafa wachukue hatua za makusudi!!

Dar siyo salama tena!!
 
Ni maeneo ya Buyuni-Chanika,
Wamesombwa na maji ya mvua.
Hali ni mbaya,

sijui jinsi ya ku-upload picha wa dau mtanisamehe!

Shirikisha majirani naamini wapo wanaoweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom